Wanawake nawaomba msituonee huruma

Wanawake nawaomba msituonee huruma

Yeye ndio kaufanya kioo moyo wa mtu sasa siku akikipasua hicho kioo, huyo dada ataona bora moyo wake ulivyokuwa mbao..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha duuh mkuu upo vizuri
 
Sizani kama aya mambo yapo kwa binadamu wa kike wa sasa hivi.
 
Una Boyfriend, Unampenda ile mbaya,anajua
unampenda na hufurukuti,anakusumbua
kwelikweli, wewe na kisima cha machozi ni Mutual
Friends, kwa mwaka unalia mara nyingi kuliko
Kikundi cha Waombolezaji wa Kinyakyusa...

Imefikia muda unahisi Moyo wako umepigwa Ganzi, ukasema Enough is Enough... Ukaamua kumpa Moyo Mwanaume fulani, akaupokea ule
moyo kama umetengenezwa na kioo,kwa heshima
zote, na anautendea haki...Yule Kinabo aliyekutesa
kwa miaka mingi ndio anashtuka, anajirudisha rudisha na kujiweka weka karibu kutafuta Bluetooth Network kwako, wakati wewe umepata
Love of your Life....

Usivyo na akili, kisa amekuja kwako analia unahisi fisi kageuka beberu, eti
unamwonea huruma...Mwanaume kulia machozi
feki ni rahisi kuliko Mbuzi kutembea huku
anamwaga kinyesi cha Karanga...
Huruma yako itakuponza, utampoteza Mpenzi wa Ukweli na
kurudi kwa janaume feki na mwisho unakosa
vyote... Huruma mwisho Chumbe!

Jamaa vp huyu
Tusaidiane kushangaa
 
Dhaaaa ww jamaaa hata
Kwa mkopo hufai
Kuwa mshenga dhaaaa
 
Nimeona thread bby unatisha mbayaaa.

Big up hun. I will always cherish and you know what.
 
Kulia na kutoa machozi ni njia mpya ya kutongoza mwanamke, njia hii wanawake wengi hushindwa kuikataa atakupa tu papuchi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom