Mwanzo ni Mwisho
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,440
- 11,003
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yeye ndio kaufanya kioo moyo wa mtu sasa siku akikipasua hicho kioo, huyo dada ataona bora moyo wake ulivyokuwa mbao..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yeye ndio kaufanya kioo moyo wa mtu sasa siku akikipasua hicho kioo, huyo dada ataona bora moyo wake ulivyokuwa mbao..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
easy come easy go, so mkiendelea kuwanyaka kiurahisi lazima muwateme kirahisi. Angalau wakiwa wagumu watu watakuza ujuzi wa kuseekShubaamit!!! BAN inakuhusu,huwezi kuwapa njia kanga yakutorokea wkt nawewe ni kati ya wategaji!! Mod ban this mutu adabu imshike maana hajui watu tumeweka mitego
mkuu uzuri mi siwapi mbami nabalance tusijemsumbua mkuru mara njaa,ajira n.keasy come easy go, so mkiendelea kuwanyaka kiurahisi lazima muwateme kirahisi. Angalau wakiwa wagumu watu watakuza ujuzi wa kuseek
Ukisikia udhaifu ndio huo , na kwenye mapenzi ukionyesha udhaifu wako basi umekwishaAkili inakwambia hiki ni chema
Lakini hisia zinakudrive kukupeleka zitakapo
Hapo huwa hakuna ujanja,
Mapenzi ni hisia unaweza ukawa unamtenda mpenzi wako
Mabaya lakini yeye atalia kisha anarudi tena kwako hakuachi
Coz hisia zake zipo kwako tu.
Hilo dongo sijui umemtupia njemba gani
Wala hawapeperuki..Stunter hapa anaongea na viziwi..Wanawake wa dizaini hizi kuwaelimisha ni kazi sana..Usiombe dada ako akawa hivyo..Unaweza kumtengua mtu kiunoHaha... bro unatupeperushia ndege...[emoji23][emoji23]