Ukipata anayekupenda stick nae(usimuache)

Ukipata anayekupenda stick nae(usimuache)

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,319
Reaction score
3,432
Una Boyfriend,Unampenda ile mbaya,anajua unampenda na hufurukuti,anakusumbua kwelikweli,wewe na kisima cha machozi ni Mutual Friends,kwa mwaka unalia mara nyingi kuliko Kikundi cha Waombolezaji wa Kinyakyusa...Imefikia muda unahisi Moyo wako umepigwa Ganzi,ukasema Enough is Enough...Ukaamua kumpa Moyo Mwanaume fulani,akaupokea ule moyo kama umetengenezwa na kioo,kwa heshima zote,na anautendea haki...Yule Kinabo aliyekutesa kwa miaka mingi ndio anashtuka,anajirudisha rudisha na kujiweka weka karibu kutafuta Bluetooth Network kwako,wakati wewe umepata Love of your Life....Usivyo na akili,kisa amekuja kwako analia unahisi fisi kageuka beberu,eti unamwonea huruma...Mwanaume kulia machozi feki ni rahisi kuliko Mbuzi kutembea huku anamwaga kinyesi cha Karanga...Huruma yako itakuponza,utampoteza Mpenzi wa Ukweli na kurudi kwa janaume feki na mwisho unakosa vyote...Huruma mwisho Chumbe-kwa hisani ya watu wa rufiji-seth giovani
 
inategemea..usikariri mambo ya mapenzi hayana formula.period
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom