Wanawake Nawakumbusha. Acheni Usaliti.

Picha inajieleza. Sinaga maneno mengi kwenye hili.

View attachment 3579930

NB: Wanawake wote ambao ni wasaliti wote peponi mtaishia kupasikia tu.
Mpwa, umepigwa tukio tayari, pole sana. Miaka yangu 18 hapa JF nimegundua kuwa kila jumatatu at least kunakua na thread moja ya vijana wangu kuumizwa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…