pesa sio kila kitu
TRUST ME hapa jf tinaongea tu ila tukitoka hapa na kujifungia chumbani wenyewe tunasema mioyoni mwetu mwanaume tumtakae na pesa huwa haipo kwenye list
ndo nakwambia sasa
jitathmini
pesa sio kila kitu
TRUST ME hapa jf tinaongea tu ila tukitoka hapa na kujifungia chumbani wenyewe tunasema mioyoni mwetu mwanaume tumtakae na pesa huwa haipo kwenye list
ndo nakwambia sasa
jitathmini
usichukulie siriaz maneno ya humu.
Hata ivyo taste yako iko kiubishoo zaid kuliko kihalisia yaani wewe unamtaka mwanamke wa mapambo tu.
muda mwingine mwanamke asokuwa na shape ile ya Leila ama suzy wa kwenye gazeti la wasaa ni mzuri zaidi kwenye kila idara kuliko hao unaowataman.
istoshe Mungu anamjua aliyekupa awe wako na wewe unaenda kwa yule asokuwa wako.
Utakua na damu ya kunguni
Kwa ujumla JF inatujengea utambulisho (identities) wa aina mbili. Kwanza kuna ile halisi ya kawaida ambayo mtu anaishi nayo mtaani. Nyingine ni hii ya JF - Avatar fake, ID fake na taswila fake. Wengine kwa kutosoma katikati ya mistari, huchukulia hizo taswila fake kuwa ndio halisi. Yote ni sehemu ya maisha ya binadamu!
nimeamini humu tunapotoshana sana.
nimeamini humu tunapotoshana sana.
tatizo nikiwa na wa hivyo bado nitaendelea kutamani wa nje.
Mwenyeezi Mungu anakuepusha na uzinzi wewe unashangaa. Soma:
1 Wakorintho 6
8 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
9 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
kwa mfano mimi unaweza ukahisi ni jinsia gani??
Mwenyeezi Mungu anakuepusha na uzinzi wewe unashangaa. Soma:
[h=1]1 Wakorintho 6
8 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,[/h]9 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.