Wanawake nani kawaroga??

Hicho ndicho kilichokupeleka bar manake najua kilichokupeleka bar ni balimi hayo ya mavaz ya mabaamed waachie wenyew manake wanajitaftie riziki kupitia mavaz yao
 
Mfungo umekwisha mkuu

Ndio mavazi yao c unajua tena.....!!!!!
 
Huoni yalivyokuvutia hadi umeyafungulia uzi.
Peleka ujumbe kwa meneja, mwambie nyie walevi hamyataki hayo mavazi, changes beggins with you.
 
Mfungo umeisha, mmeamua kufungulia kila kitu sasa
 
embu tuachie umbie sisi walev ndo tunayapenda yani ukiwatazama na hivo visket ukichanganya na pombe unapata stimu mubashara kabisa
 
Na ingekuwa vyema awaulize hao waliovaa hivyo kwa sababu kuja kutuuliza ambao hatuvai hiyo nusu uchi ni sawa na kutuonea.
Kwa mtazamo huu, hakuna kitakachoulizwa humu kikapata majibu
 
Ulilazimishwa uende huko?
Embu acha kufatilia maisha ya watu, kama sehemu imekukera sepa kimya kimya tuu. Acha kuingilia biashara za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…