Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,765
wapo kazini kama wewe unavolazimika kuvaa suti na tai ndivo na wao wanalazimika kuvaa pensi na vitopu.Eid Mubarak wana JF
Nipo bar flani hapa nakula Balimi
Nimevutiwa na mavazi ya hawa wahudumu yani wote wamevaa vipensi vifupi mno yani nusu uchi ,matumbo yapo wazi wanatuhudumia hapa full burudani
Ila kuna wakati nawaza na kiwasikitikia hivi wanawake nyie nani kawaroga kukaa uchi mbele ya kadamnasi ndo nini,je hamna wababa ambao wanaweza kuja hapa na kukuta mwanae anajidhalilisha kwa kukaa uchi mbele ya wanaume na wanawake wenzao ambao wanajiheshimu
Demu bonge kafungasha chura hips kubwa tumbo hilo(kitambi) halafu kavaa pensi fupiiii
Mavazi Haya tumezoea kuyaona sehemu tunazonunua Malaya Ila kwenye hii bar nliyopo ndo Sare za wahudumu wa kike yani ni Noma
Karibuni Balimi
Na ingekuwa vyema awaulize hao waliovaa hivyo kwa sababu kuja kutuuliza ambao hatuvai hiyo nusu uchi ni sawa na kutuonea.Kwahiyo tukusaidiaje, maana km bado hujamaliza kuandika
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mmh! Kumeshakucha tayari.
Mavazi Haya tumezoea kuyaona sehemu tunazonunua Malaya Ila kwenye hii bar nliyopo ndo Sare za wahudumu wa kike
Mungu. Wang [emoji134] [emoji134]Ngoja nisindikize post kwa picha
AiseeNgoja nisindikize post kwa picha
Eid Mubarak wana JF
Nipo bar flani hapa nakula Balimi
Nimevutiwa na mavazi ya hawa wahudumu yani wote wamevaa vipensi vifupi mno yani nusu uchi ,matumbo yapo wazi wanatuhudumia hapa full burudani
Ila kuna wakati nawaza na kiwasikitikia hivi wanawake nyie nani kawaroga kukaa uchi mbele ya kadamnasi ndo nini,je hamna wababa ambao wanaweza kuja hapa na kukuta mwanae anajidhalilisha kwa kukaa uchi mbele ya wanaume na wanawake wenzao ambao wanajiheshimu
Demu bonge kafungasha chura hips kubwa tumbo hilo(kitambi) halafu kavaa pensi fupiiii
Mavazi Haya tumezoea kuyaona sehemu tunazonunua Malaya Ila kwenye hii bar nliyopo ndo Sare za wahudumu wa kike yani ni Noma
Karibuni Balimi
Ngoja nisindikize post kwa picha