Wanawake na Wivu - Rayal wedding

Utafiti hasa ulifanywa kwa wale walioolewa na vibabu vya kizungu.

Afu lazma muelewe aina za utafiti na jinsi zinavyofanyika.
 
Jamani kwani tumekatazwa kudream big things, huwezi jua ya Mungu mengi. Prince mwenyewe hata hakuvaa pete nahisi kalazimishwa kama baba yake
 
Inaonekana roho zinawauma sana kaka zetu tukiolewa na wazungu. Hata vibabu si mapenzi jamaniii hehe maana kila ktu wazungu, na wewe huu utafiti umefanyia wapi. nahisi mkeo ndio alikwambia eheh hahahhahahah
 
Duuuh!! wakina nanihii mmekuwa wakali kama nn wkati i joks
 



KJ umetuonea wewe....
 
mbona hata ww ulimuonea wivu nahii alivyonioa hadi ukamwaga machozi kwenye harusi ye2?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…