Wanawake na Watoto wa NJE Hii imekaaje?

Wanawake na Watoto wa NJE Hii imekaaje?

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
5,426
Reaction score
3,309
Jamani salamu kwenu.
Naomba mwongozo kutoka kwa wadau wote, kuna swali nimeliona mahali liko hvi
WAKATI MTOTO ANAZALIWA WA SURA TOFAUTI NA WEWE YAANI WA NJE YA NDOA BABA ULIKUWA WAPI?
Hili swali hebu tushirikiane kulitolea ufafanuzi maana wanawake wanataka tukae kmya tulee hata visivyotuhusu.
 
Back
Top Bottom