Wanawake na Wanaume wanatumia choo kimoja-Mwendokasi Kivukoni!!

Wanawake na Wanaume wanatumia choo kimoja-Mwendokasi Kivukoni!!

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,027
Habari wakuu,leo jioni mida ya saa2 kasoro usiku,nimelipia huduma ya choo pale mwendokasi kivukoni,kilichonishangaza ni kuona naelekezwa choo cha kike,nikawauliza wahusika kwani vipi?wakanambia vya wanaume vimeharibika,nikachoka!!nimekuta hapo kina mama wanalalamika na kuna mwingine alisikika akisema kuwa jana pia alikuta hali hyo!!Kiukweli,huu sio ustaarabu fanyeni haraka mtengeneze hivyo vyoo!
 
Hahaha bado tunatafuta muwekezaji wa vyoo we vipi ebo?!
 
Hili swala la usawa kwa jinsia zote ndio tunalipigania siku zote..
Hongera jpm kwa kuwezesha usawa wa jinsia zote
 
Sio maadili kutumia choo kimoja cha public kwa jinsia zote mbili
Kuna watu hawakawii kupiga chabo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom