Hospitali ya TMJ wanaume wanatumia choo kimoja na wanawake

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,244
Asubuhi saa tatu nimewasili TMJ kumuona Daktari, Nikapewa form niende maabara, nafika nakuta foleni. Baada ya nusu saa naingia maabara napewa vikopo viwili, kimoja naambiwa niwekee haja ndogo na kingine choo.

Nafika chooni nakuta foleni wadada kwa kaka khe! gafla choo cha wanaume anatoka mwanamama ana makopo yake nauliza wahusika ati mlango wa choo cha kike umearibika fundi alieitwa anadai hospital kagoma kuja.

Jamani uongozi wa TMJ hii ni kuuana kabisa msijali hela jalini afya zetu.
 
Kwani hamna sanduku la maoni pale mpaka uje huku hekima ni chanzo cha maarifa
 
kwani hamna sanduku la maoni pale mpaka uje huku hekima ni chanzo cha maarifa

hekima ikiizidi ni utumwa

nenda kapige ile namba walioandika pale recp kama unaipata

niliwah kuomba wabadilishe sidhan

afya ya.mtu inaitaji majadiliano kama matokeo ya ajira za uhamiaji
 
Asubuhi saa tatu nimewasili TMJ kumuona Daktari, Nikapewa form niende maabara, nafika nakuta foleni. Baada ya nusu saa naingia maabara napewa vikopo viwili, kimoja naambiwa niwekee haja ndogo na kingine choo.

Nafika chooni nakuta foleni wadada kwa kaka khe! gafla choo cha wanaume anatoka mwanamama ana makopo yake nauliza wahusika ati mlango wa choo cha kike umearibika fundi alieitwa anadai hospital kagoma kuja.

Jamani uongozi wa TMJ hii ni kuuana kabisa msijali hela jalini afya zetu.
kwani wanawake sio watu acha ubaguzi uwooo
 
atujazoea chungulia mamasetu hilo n tatzo lingine dia

lazima waheshimiwe
kwani wanaingia wawiliwawili ? Pia viongozi wetu si wanasema watanzania si wamoja sasa tatizo liko wapi?
 
wengine wakitoka wanavuta kofulizao juu.huku wakitoka sidhani.kama.we need to.f that
 
Inatia aibu ukitokea chooni na chupa ya mkojo na kibox cha haja kubwa halafu unakutana na wanawake wazuri kwenye foleni na unajua wanajua umebeba nini kwenye kibox. Yaani confor inakua below zero.
 
inatia aibu ukitokea chooni na chupa ya mkojo na kibox cha haja kubwa halafu unakutana na wanawake wazuri kwenye foleni na unajua wanajua umebeba nini kwenye kibox. Yaani confor inakua below zero.

infact.hii ndio ilionifanya nije hapa

sikufichi usiku mzima narisha maji sasa wakati natoka dada mmoja akiwa anasubiri kuingia akauliza he mbona umeweka vyote.mkojo ...akujua naarisha nikamwambia wanataka ltr.1

akacheka
 
Asubuhi saa tatu nimewasili TMJ kumuona Daktari, Nikapewa form niende maabara, nafika nakuta foleni. Baada ya nusu saa naingia maabara napewa vikopo viwili, kimoja naambiwa niwekee haja ndogo na kingine choo.

Nafika chooni nakuta foleni wadada kwa kaka khe! gafla choo cha wanaume anatoka mwanamama ana makopo yake nauliza wahusika ati mlango wa choo cha kike umearibika fundi alieitwa anadai hospital kagoma kuja.

Jamani uongozi wa TMJ hii ni kuuana kabisa msijali hela jalini afya zetu.

Nyumbani kwako kuna choo cha WANAWAKE na kingine cha WANAUME?
 
nyumbani kwako kuna choo cha wanawake na kingine cha wanaume?

sana njoo uone mpwa

nje.kuna me na ke

ndani.me na ke

ni changu na mke wangu tumeandika
for lovers sababu naruhusiwa kumchungulia

under god n gov permission
 
Nyumbani kwako kuna choo cha WANAWAKE na kingine cha WANAUME?

Ngoja nimjibie. Nyumbani kwake kuna choo cha wazazi na cha watoto na sio rahisi mtt au mgeni kujua kwamba mzazi anatoka toilet kwani kiko chumbani. halafu nyumbani hatutoi sample za mikojo na haja kubwa.
 
ngoja nimjibie. Nyumbani kwake kuna choo cha wazazi na cha watoto na sio rahisi mtt au mgeni kujua kwamba mzazi anatoka toilet kwani kiko chumbani. Halafu nyumbani hatutoi sample za mikojo na haja kubwa.

serikali aikukosea kukusomesha

ilboru mkuu
 
Kwani nyumba yako uliyojenga , umetenga choo cha wanawake na choo cha wanaume?
 
nyumbani kwako kuna choo cha wanawake na kingine cha wanaume?

mkuu inaonekana unapendq chabo sana

naa kama aukai kwa mtogole basi mbagala wanapenda sana kuchunguliana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom