Wana jf, hivi juzi tu ndio nilitoka visiwa vya Ukerewe. Kuna kazi maalum ilinipeleka nyumba kwa nyumba(japo baathi tu). Cha kushangaza sana ni kuwakuta wanawake na wanaume wanaoga bila ya aibu yeyote .mfano nilikua navuka Nansio fery nikawakuta wanaume na wanawake wanaoga kwa pamoja bila ya aibu. Pili nikaenda tena kijiji cha Buhima Nikamkuta mwanamke anaoga njiani kwenye kamto yuko uchi wa mnyama. Please ndugu zangu sio utu wala heshima na kamwe siwaungi mkono. Nitafurahi sana mkibadilika. Asanteni sana
ndo zao hao....ila wakifika mjini wakiona mdada kavaa kimini wanamtolea macho ilhali kwao wanaoga pamoja

no comment nisije bebwa na mamba mchana kweupe.
Mi mwenyewe najinyamazia.........hakawii kutokea mamba kwenye haka kaglass kangu ka mvinyo.......
Ndivyo walivyo jamii ya ziwani hususan wakerewe, hakuna cha ajabu kwao. Tembelea kemondo, ukara au hata uwapo Mwanza kule chini eneo la kiwandani breweries UTAJIONEA mwenyewe mambo.
Du jamaa yangu unanikumbusha ya Mwandishi wa Habari Mtanzania aliyeenda tembelea Chuo, yaani wao ni kukutoa macho na kucha tu usione wala kuandikaKijana siku nyingine usirudie tena,wakerewe si watu wa kuchezea watakuja kukunyang'anya macho ili ukienda usiwaone wakiwa wanaoga.