Allien
JF-Expert Member
- Jul 6, 2008
- 5,546
- 1,861
Kama wote tunaona sawa hili ni zaidi ya tatizo, hivi lengo lake lilikuwa nini?
Natafuta habari au lolote jipya sioni hapa. Au ni uzi wa kuosha macho tu?
Uzi wa kuosha macho na kudownload wallpapers. LOL! :A S-baby:
Duh,
Kuna watu wanaweka wallpaper hizi, seriously? Tunatofautiana lakini.
Kama wote tunaona sawa hili ni zaidi ya tatizo, hivi lengo lake lilikuwa nini?