Wanawake na ushamba wa kubofya simu, mnatia aibu

Wanawake na ushamba wa kubofya simu, mnatia aibu

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,221
Reaction score
4,692
Siku hizi sijui ndio swagger au vipi unakuta kila msichana yupo bize na kubofya simu.

Huu mimi naona ni ushamba wa hali ya juu, yani wewe unadhani ukiwa bize na simu ndio usista duu au?sana sana unaonyesha jinsi ulivyo mpweke na haujiamini kinga yako ni simu.

Ebu fikiria unamkuta demu unamsalimia halafu kenyewe kanajifanya ka-cute kanakutazamaa huku kanabofya then kanashtuka eti ah unanisalimia? nitakukata ngumi mbili ufe.

Hivi nani aliwadanganya ukiwa bize na insta au wosapu ndio utaonekana classic washamba nyie?

Ndio maana siku hizi mnakuwa na makengeza kwa sababu ya ushamba wa kuchungulia jicho moja kwenye screen ya simu jicho lingine ndio linaaangalia mambo mengine chunguza vimacho vyao masista duu vimepinda karibia wote.

Acheni huu ushamba wengine tuna mikono mwepesi hatukawii kunasa makofi mtu.
 
hahahaha pole hebu pumzika kwanza utwambie yamekusibu yapi

Yani kuna wadada washamba sana, mtu umempa attention yako then ye anajifanya kama hauna maana, eti anainjoi zaidi izo chats....alafu tukiwafungia vioo mnadai uyu kaka anajiskia sasa sisi sijui tufanyaje
 
mbona povu lakutoka namna hiyo kijana....au hujaskia kitu kinaitwa KAZI NI KWAKO...
 
hahahaha mbavu zangu mie.pole sana mhexhmiwa
 
hahahaaa... modernization doesn't mean development!!!
 
Siku hizi sijui ndio swagger au vipi unakuta kila msichana yupo bize na kubofya simu...Huu mimi naona ni ushamba wa hali ya juu, yani wewe unadhani ukiwa bize na simu ndio usista duu au?sana sana unaonyesha jinsi ulivyo mpweke na haujiamini kinga yako ni simu.

ebu fikiria unamkuta demu unamsalimia alafu kenyewe kanajifanya ka-cute kanakutazamaa uku kanabofya then kanashtuka eti ah unanisalimia pouwa,,,,,pumbaaaaff ntakukata ngumi mbili ufe.

Hivi nani aliwadanganya ukiwa bize na insta au wosapu ndio utaonekana classic washamba nyie??

Ndio maana siku hizi mnakuwa na makengeza kwa sababu ya ushamba wa kuchungulia jicho moja kwenye screen ya simu jicho lingine ndio linaaangalia mambo mengine....chunguza vimacho vyao masista duu vimepinda karibia wote.

Acheni huu ushamba wengine tuna mikono mwepesi hatukawii kunasa makofi mtu.

Mkuu kwani kuna tatizo?...hebu shusha hasira kwanza na maji bariidi then ukuje tena.
 
Lol! Uwaacheeee! Simu si zao jamani! It's a free country since 1961 (By lara1's voice) hahahaaa ila umeniongezea siku za kuishi aiseeee! Nimechekaje!
 
Pole sana kwa yaliyokukuta.

Kuna mawili la kwanza labda ulikuwa unamboa, la pili labda ni tabia yake (kuna wadada hawajui jinsi ya kuhandle social life, kutokana na dharau, exposure au umri)

NB: Kama unampenda mtu unamuambia ukweli ili kama wa kubadilika abadilike.
 
Back
Top Bottom