Wanawake na umbea wa saluni

Ni kweli kabisa last week nlienda saloon moja mtaani kwetuu story zilizokuwa zinaongelewa na akina mama kuhusu waume zao na limbwata ziliniacha hoii kwa vile nlikuwa mdogo kuliko wotee ilibidi nijifanye nipo busy na simu siwasikilizii.....ila wanawake tuwe makini sana na huko saloon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…