Wanawake na umbea wa saluni

Ongezea kinyume na maumbile.

Kwa masikio yangu niliwahi kuwasikia wanawake Saluni mazungumzo yao (bila wao kujua mimi nilikuwa nikiwasikia).

Mazungumzo yalikuwa hivi,

"Kuna Wanaume wa ajabu sana, wewe Mwanamme gani mara ya tatu mnakutana lakini yeye haulizii nyuma"

Mwingine "Mwanamme ambae hakuulizii nyuma, ujue huyo hajakamilika"

Yaani kwa madai yao, kidume ni yule ambae anawaingilia kinyume na maumbile.

Sasa hapo, kama kunakuwa na Mwanamke mwenye akili za kushikiwa na hajawahi kuingiliwa kinyume na maumbile, si ndio rahisi kushawishika na kuona nyuma ndio ujanja.

Kwa yale mazungumzo yao nikapata jibu wale Wanawake wote waliokuwa wakiongea ule upuuzi pale Saluni, wanacheza michezo ya hatari.

Kwa kweli nilijisikia vibaya sana
 
Haaa haa aiseee et ndo huko majina ya,waganga maarufu yanakopatikana
 
Tabu ya Saluni yote ya nini? Tafuta wigi kama la Spika mstaafu Anamakinda mkabidhi mkeo alivae miaka kumi, kama yule mama alidumu nalo miaka kumi mkeo hashindwi.
 
Hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…