Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,938
- Thread starter
-
- #21
Barber shop sio sanaHata kwenye barber shops nako ni hivyo hivyo tu.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Ninachofahamu ni kuwa, ukienda saloon ufunge mdomo wako, unachoongea pale ukiondoka huku nyuma wewe ndiyo unakuwa the topic.
Saa huwa unaenda wap....??ndo maana sipendi kwenda saluni
Kuchapiwa kuchapiwa tuuDuh una moyo sana aisee na ambacho hukijui wamasai wanawala sana wanawake aisee bora nichapiwe na mtu anayeeleweka ila sio Masai no mwanamke anakuwa amekudharau sana
Pole sanaMm kuna sehem wadada wanasukana nlivyopita tu wakaachia kicheko nkaangalia labda sijafnga zipu au suruali imechanika matakoni.
Wanawake bwana.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji12]Ha haa ukifikiria hayo unaweza mkataza bebi wako kwenda salun lol
kufanya nn?Gesti je?!
Yashakuwa Hayokufanya nn?
Kuosha garikufanya nn?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] yaani siipendi hiyo tabia miye!Mm kuna sehem wadada wanasukana nlivyopita tu wakaachia kicheko nkaangalia labda sijafnga zipu au suruali imechanika matakoni.
Wanawake bwana.
nanyoa nikichoka kusuka rasta hua sitii dawa miyeSaa huwa unaenda wap....??
Kule uswahlini nlipokuwa nimeanzia maisha ilikuwa kawaida sn[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] yaani siipendi hiyo tabia miye!
Wife material[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]nanyoa nikichoka kusuka rasta hua sitii dawa miye
msusi namlipa nyumbani
Najua unakoelekea..Ila ishia hapo hapo..Wife wangu namuaminiTobaaaaaaaaa
Wanamsuka wakiwa wamevaa yale mashuka yao au????
Hahahahaa haya mpendwa. Usiku mwemaNajua unakoelekea..Ila ishia hapo hapo..Wife wangu namuamini
Babershop za bongo wanaume wanafatwa kusuguliwa vichwa vyoye na wale wadada waosha nywele......Barber shop sio sana
May b kwa wenzetu mlioko huko Nje
Bt Baber shop za Tz ayo makitu hakunaga
Mwanaume ana roho ya ujasili sana na siri
Hahahha kuna swala la hadhi mkuu...masai msusi na meneja wa kampuni kipi afadhal lolKuchapiwa kuchapiwa tuu