Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,438
- 166,899
Daaaaaa.... aiseee its too much, niliwahi kufika ofisi fulani nikiwa mgeni tu, week moja ilinitosha kuwajua watu waliokuwa wanafanya kazi toka miaka ya nyuma. Kuna mama mmoja ndio alikua anatoa hizo stori pindi mmoja akigeuza mgongo tu, nahisi hata mie nilikua nikitoka tu... nilikuwa topic yake...
Ndiyo wako hivyo kwa asilimia kubwa
Mwanamke umbea kusutwa sunna tuacheeeee
Ninachokupendea wewe huwa hukopeshi unatoa makavu, haya mkuuHata kama wako hivyo wakati mwingine ni kero
siku izi hata nyinyi mmeingilia fani ya umbea...hujui kuwa mwenzako akinyolewa na ww tia maji?! Wanawake mnatisha sana
siku izi hata nyinyi mmeingilia fani ya umbea...