Wanawake na umbea ni tishio makazini

Wanawake na umbea ni tishio makazini

Ni hulka tu, ila kwa maofisini wote tu baadhi ya wanawake na wanaume wamekuwa wambea.
 
Ninachokupendea wewe huwa hukopeshi unatoa makavu, haya mkuu

Halafu kwa kusadiki ushirikina wao ndio namba moja. Kila wiki utawasikia wakienda Kisutu. Unaweza dhani wanaenda kununua vyakula na mahitaji mbalimbali ya nyumbani.... kumbe wanaenda kununua njiwa weupe wa dawa
 
Wanawake ni nooma kwa umbea. Sitasahua nlivyopigwa jungu nlivyotua mgeni kwenye job flani eti namrukia secretary wa bosi kisa tumezoeana.
 
Halafu kwa kusadiki ushirikina wao ndio namba moja. Kila wiki utawasikia wakienda Kisutu. Unaweza dhani wanaenda kununua vyakula na mahitaji mbalimbali ya nyumbani.... kumbe wanaenda kununua njiwa weupe wa dawa
Asante kwa kunifahamisha au naweza sema kwa kutufahamisha, ishakuwa janga mkuu
 
Wanaume ndo WAMBEA WAMBEA haswaaaa! Afu inshu zao zimeenda shule, unapewa umbea na supporting documents incase hujaamini. Mabingwa wa kikiss n tell.

Haha daah eti ni supporting documents...umbea ulioenda shule duh haha....ila hizo ni ofisi gani wanazopata hadi muda wa kujadili vitu?
 
Back
Top Bottom