Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,436
Sio wote ila wengi ni wambea, wakuda, vizabizabina na ma informer wa mabosi.
Wengi wao ni wanafiki na ndumilakuwili.
Kibaya zaidi hawapendani wao kwa wao, sijui ni hulka au kurogwa?
Wengi wao ni wanafiki na ndumilakuwili.
Kibaya zaidi hawapendani wao kwa wao, sijui ni hulka au kurogwa?