Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
Kuna wanaume wahuni piahBora umewambia, wanataka kuvaa kama wadada vileeee, wanashangaza na wanastajabisha sana.
Kuna wanaume wahuni piahBora umewambia, wanataka kuvaa kama wadada vileeee, wanashangaza na wanastajabisha sana.
Kabisa wengi tu.Kuna wanaume wahuni piah




Wavulana na wanaume wanatulia na mwanamke mmoja???Mleta uzi nadhani upo sahihi ktk kile unacho kikemea but usisahau hata uhuni wa tabia ya kutotulia na mwanaume mmoja hii pia imekuwa ugonjwa wa taifa. Wasichana kwa wanawake wamewaka tamaa kupenda kusiko na thaman,




Unaweza kuthibitisha kwa picha hao wamasai wanaoacha matiti wazi?Mkuu je hawa makabila jamii ya kimasai wanaoishi nyikani wanaacha matiti wazi wenyewe unawaweka kundi gani mkuu?
Nichukue nafasi hii kulipongeza jeshi kwa kutii na kuchukua hatua za haraka dhidi ya uvunjwaji wa maadili unaendelea hapa nchini.nimefarijika sana na endeleeni hivo hivo.zawadi yenu inakujaHabari zenu watanzania popote pale mlipo,
Leo naandika hii mada kwa uchungu juu ya kupotea njia kwa wanawake wetu.
Mimi hua sielewi hata kidogo namna wanawake wanavyovaa ani sielewi, hadi najiuliza ni nani kawaroga?
Utakuta mdada kama Faiza amevaa mavazi ya kishetani na nikijaribu kutafuta sababu ya kufanya hivo sipati.
Nakuja na jibu moja tu WANAWAKE WOTE WANAOVAA KIHUNI WOTE NI MALAYA NA PENGINE WANATANGAZA SOKO.
Hatukatazi kuvaa suruali lakini unakuta kidada kimevaa suruali imembana mpaka unaona maumbile yote yalivyo! Nashangaa sana ni uhuni huo wanaume wapo tu na ili kuwapata sio lazima uvae kama shetani.
Jitahidini hata kama ni malaya vaeni kwa heshima. Kwa taarifa nilizo nazo asilimia kubwa ya wanawake vijana Tz ni malaya.
Sasa dawa yao inakuja muda si mrefu, wajiandae serikali haitavumilia haya maovu na uhuni, hii ni nchi ya maadili na sio danguro la wahuni.