Wanawake na uhuni

Wanawake na uhuni

Joined
Jan 13, 2018
Posts
38
Reaction score
50
Habari zenu watanzania popote pale mlipo,

Leo naandika hii mada kwa uchungu juu ya kupotea njia kwa wanawake wetu.

Mimi hua sielewi hata kidogo namna wanawake wanavyovaa ani sielewi, hadi najiuliza ni nani kawaroga?

Utakuta mdada kama Faiza amevaa mavazi ya kishetani na nikijaribu kutafuta sababu ya kufanya hivo sipati.

Nakuja na jibu moja tu WANAWAKE WOTE WANAOVAA KIHUNI WOTE NI MALAYA NA PENGINE WANATANGAZA SOKO.

Hatukatazi kuvaa suruali lakini unakuta kidada kimevaa suruali imembana mpaka unaona maumbile yote yalivyo! Nashangaa sana ni uhuni huo wanaume wapo tu na ili kuwapata sio lazima uvae kama shetani.

Jitahidini hata kama ni malaya vaeni kwa heshima. Kwa taarifa nilizo nazo asilimia kubwa ya wanawake vijana Tz ni malaya.

Sasa dawa yao inakuja muda si mrefu, wajiandae serikali haitavumilia haya maovu na uhuni, hii ni nchi ya maadili na sio danguro la wahuni.
 
ndugu taarifa ulizonazo umezitoa wapi kuwa asilimia kubwa ya wanawake vijana tz ni malaya?
 
Serikali yenyewe ya kihuni.. acha tu hata raia wawe wahuni maana hakuna namna mkuu
 
Uhuni si mavazi ni tabia ya mtu,na pia zipo tabia nyingi mbaya zinazokera zaidi ya mavazi!
 
Na wanaume wanaovaa vipensi vya kubena na suruali ya kubana tuwaiteje mashoga wahuni au ungejumlisha wanawake na wanaume wahuni na mavazi yaliyokosa heshima.


Napita Kwa kuringaa.
Bora umewambia, wanataka kuvaa kama wadada vileeee, wanashangaza na wanastajabisha sana.
 
Mkuu je hawa makabila jamii ya kimasai wanaoishi nyikani wanaacha matiti wazi wenyewe unawaweka kundi gani mkuu?
 
Kiukweli wanaume tusio na kipato na htuna bahat ya kupendwa tunateseka na hili
 
Hili jiwe naona umelirusha disco,
Sijui limempata Dj
Sijui limewapata dancers
Au umewapata washangiliaji?

Mavazi, mavazi, mavazi.
Sakata la mavazi linaonesha matokeo mazuri ya utandawazi.
 
Mleta mada sijui jana kimekupata nini.Huko jukwaa la wakubwa,umelalamika Moshi wanawake wanajiuza.Hasira zako zoooote umewaletea ndiiiii. Hayo mavazi umeyaona leo?
 
Back
Top Bottom