Mama yangu pia yupo busy na tamthilia za kihindi, Mimi sina mzuka nazo hizo.
Napenda tamthilia lkn nachagua sio zote..Kuna ambazo ukianza kuangalia huchomoki. Zinafundisha mambo mengi hamjui tu.
Movies,series za Aina zote nimo.
Kwani mnayofundwa kanisani na msikitini mnayazingatia?
Sio yote kwenye tamthilia ni mazuri..siangalii ili na mimi nifanyeje bali ni burudani na kujua watu wengine wapo vipi. Tukiyaiga ya kwenye tamthilia mnatusema pia..