Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Amelaaniwa avaaye mavazi yasiyo ya jinsia yake
Oo umalaya tu hakuna kingine. Hata wajitahidi kutoa sababu.
INATEGEMEA...........surual ndo vaz la heshima kama hamjui! hata ukidondoka hapo wa2 inakua rahic kukubeba! japo sket nayo ina hadhi yake na kwa wakat wake.... m navaaga sket kanisani 2, kwingne kote surual,
NYINGINE NI MODEST......