Siku hizi umeingia utamaduni katika nchi yetu ambapo kina dada wengi wanapenda kuvaa suruali kuliko kuvaa sketi au magauni kama ilivyo utamaduni wetu. Ni kwasababu gani dada zetu siku hizi wameacha utamaduni wa kuvaa sketi na magauni badala yake wanavaa suruali?

Wengi wanaficha viguu vyao kama fito
Baadhi yao wana lengo la kuufahamisha umma kuwa wana matak.o makubwa.
<br />Siku hizi umeingia utamaduni katika nchi yetu ambapo kina dada wengi wanapenda kuvaa suruali kuliko kuvaa sketi au magauni kama ilivyo utamaduni wetu. Ni kwasababu gani dada zetu siku hizi wameacha utamaduni wa kuvaa sketi na magauni badala yake wanavaa suruali?
ngoja waje watuhabarishe.
Siku hizi umeingia utamaduni katika nchi yetu ambapo kina dada wengi wanapenda kuvaa suruali kuliko kuvaa sketi au magauni kama ilivyo utamaduni wetu. Ni kwasababu gani dada zetu siku hizi wameacha utamaduni wa kuvaa sketi na magauni badala yake wanavaa suruali?
culture hubadilika kuendana na wakati. Hata hizo sketi na baadhi ya magauni zilikuwa sio asili yetu. Tukubaliane na mabadiliko ya maisha.Siku hizi umeingia utamaduni katika nchi yetu ambapo kina dada wengi wanapenda kuvaa suruali kuliko kuvaa sketi au magauni kama ilivyo utamaduni wetu. Ni kwasababu gani dada zetu siku hizi wameacha utamaduni wa kuvaa sketi na magauni badala yake wanavaa suruali?