Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,032
- 4,413
biashara yakujifungua kawaida tuachie wenyewe kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe mimi kuliko operation bora hii maku ichanike nianze moja!!
Vyakula wanavyo kula wa mjini vinasababisha washindwe kupush
wa mjini ma Abortion na ARV. Abortion vizazi vinalegea na ARV maambukizi kwa mtoto
salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam,
kati ya wajawazito 20 wanaofika mahospitalini kwaajili ya kujifungua 16 wanajifungua kwa operation na hii hutokea sana ktk private hospital.
Juzi juzi hapa nilisafiri kwenda kijiji cha mkoa flani hivi. I was there for two wks. Nilishuhudia wajawazito zaidi ya saba wakijifungua kwa njia ya kawaida. Ilinibidi nifanye kautafiti juu ya swala hili la ongezeko mara dufu ya watu wanaojifungua kwa operation . Nilichogundua ni kwamba vijijini watu kwa asilimia 99.99 hujifungua kwa njia za kawaida na mijini asilimia78.32 ya wanawake hujifungua kwa njia ya operation.
Je hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida, ama kuna sababu nyingine?
Na je hii haiwezi ikawa ni ujanja wa mahosipitali kujipatia pesa zaidi? Kwasababu operation inagarama zake ati!
Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam,
Kati ya wajawazito 20 wanaofika mahospitalini kwaajili ya kujifungua 16 wanajifungua kwa operation na hii hutokea sana ktk private hospital.
Juzi juzi hapa nilisafiri kwenda kijiji cha mkoa flani hivi. I was there for two wks. Nilishuhudia wajawazito zaidi ya saba wakijifungua kwa njia ya kawaida. Ilinibidi nifanye kautafiti juu ya swala hili la ongezeko mara dufu ya watu wanaojifungua kwa operation . Nilichogundua ni kwamba Vijijini watu kwa asilimia 99.99 hujifungua kwa njia za kawaida na mijini asilimia78.32 ya wanawake hujifungua kwa njia ya operation.
Je hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida, ama kuna sababu nyingine?
Na je hii haiwezi ikawa ni ujanja wa mahosipitali kujipatia pesa zaidi? kwasababu operation inagarama zake ati!

Akijifungua kwa operation mtoto hawi wa kawaida?
Uwe na adabu, wakati vifo vya mama na watoto vinahitajika kupunguzwa wewe bado unadhani ni sifa kuzaa kwa kusukuma?
Grow up!
Hapo kuhusu mjini umeongeza chumvi. Hapo si karibia kila mwanamke wa mjini angekuwa na mshono. Hata robo hawafiki. Nimeona hospitali za private kama nusu hivi na wanaoenda huko ni wachache. Hospitali za serikali za mjini hata robo hawafiki. Wengi tu wanajifungua kwa njia ya kawaida.
Hili sikulijua
kwa upeo wangu wa kufikiri hakuna mtu atataka kujifungua kwa operation kam hakuna matatizo