Wanawake na Simu Za Mkononi

Bazazi

JF-Expert Member
Aug 18, 2008
2,806
3,476
Wanawake mna matatizo gani na simu za mkononi? Kwanini mnazigeuza kuwa simu za mezani.

Hii haina cha mwanamke msomi na mbumbumbu, mfanyakazi na mkulima/mfanyabiashara, mbinti na mmama, mkurugenzi na mhudumu, waziri na mfagizi: Mradi ni mwanamke kwao simu ya mkononi ni ya mezani.

Ole wetu tuchelewe kupokea simu zao! Tunakutana na maswali mengi sana. Oh mara ulikuwa wapi hupokei simu, Oh ulikuwa na nani? Ni kasheshe iwe nyumbani-chumbani au katika nyumba za wageni au ufukweni. Ni full Kasheshe!

Lakini kwao simu ya mkononi ni ya mezani. Na hujitetea sana ukiwabana kwanini hawakupokea mapema.

Nauliza tena ni KWANINI KWAO SIMU YA MKONONI NI YA MEZANI?

Bazazi ni Bazazi!
 
tukiwa nyumban mara nying tunakuwa bze na pilika za jikon,chumban na simju labda uliiacha pale kwenye koch

vs
nyie ata km mkiwa home mnapokea mkiamaliza mnatumbukiza mfukon sasa mimi nimevaa dela lisilokuwa na mfuko so mara nyng naisahau pale nilipokuwa

simu twaweka kwa pochi na kwenye poch kuna makorokocho mengi so ukipiga naweza nsiskie.....but nyinyi amwek simu sehemu km izo
 
mie niliisahau kwenye mkoba tangu niliporudi markiti,na sikujua kama utanipigia time hii nimeshakuzowea weye unapiga cm
baada ya salaa ya Adhuhuri kulizia nimepika nini,ah ndio unisameh tena siunajua utuzima majukumu mengi..enhe lete habari
zaidi!!!
 
daah mimi simu yangu ipo kwenye pochi tena ipo mbali na hapa nilipo nina mpango wa kufata iyo pochi kesho ..watu watapiga hadi wajichokee..
ndo maana mimi sipendi kumpa mtu no yangu maana lazima anichukie..
 
ukiona mwanamke ana treat simu ya mkononi kama mezani, ina mana hakuna mtu

spesheli katika maisha yake kwa kipindi hicho. kama yupo hana mshiko. ila kama kweli yupo aisee simu inakuwa bega kwa bega,

wakati wa shughuli kama kufua or kupika unaibana kwenye sidiria or unahakikisha

nguo ina mfuko. teh teh teh. but kama hayupo usiku unalala simu iko sebuleni.
 
wewe erotika unataka niachwe mie mimi nikiwa home sipokeagi cm hata mmja zaidi ya mume wangu na akiona sipokei anapiga za nyumbani mpaka anipate ninaju muda anaonipigia wengine wakipiga ntawapigia bdae.
 
ukiona mwanamke ana treat simu ya mkononi kama mezani, ina mana hakuna mtu

spesheli katika maisha yake kwa kipindi hicho. kama yupo hana mshiko. ila kama kweli yupo aisee simu inakuwa bega kwa bega,

wakati wa shughuli kama kufua or kupika unaibana kwenye sidiria or unahakikisha

nguo ina mfuko. teh teh teh. but kama hayupo usiku unalala simu iko sebuleni.
kweli erotica sina wa kuniuliza hata....
 
tukiwa nyumban mara nying tunakuwa bze na pilika za jikon,chumban na simju labda uliiacha pale kwenye koch

vs
nyie ata km mkiwa home mnapokea mkiamaliza mnatumbukiza mfukon sasa mimi nimevaa dela lisilokuwa na mfuko so mara nyng naisahau pale nilipokuwa

simu twaweka kwa pochi na kwenye poch kuna makorokocho mengi so ukipiga naweza nsiskie.....but nyinyi amwek simu sehemu km izo

yani wanawake tayari mshajitafutia na visababu hata ukiwa jikoni kwani simu haiwezi kukaa sehemu jikoni mkaisikia?
 
ukiona mwanamke ana treat simu ya mkononi kama mezani, ina mana hakuna mtu

spesheli katika maisha yake kwa kipindi hicho. kama yupo hana mshiko. ila kama kweli yupo aisee simu inakuwa bega kwa bega,

wakati wa shughuli kama kufua or kupika unaibana kwenye sidiria or unahakikisha

nguo ina mfuko. teh teh teh. but kama hayupo usiku unalala simu iko sebuleni.

Huko kwenye sidiria si wajitafutia kansa?
 
Wanawake mna matatizo gani na simu za mkononi? Kwanini mnazigeuza kuwa simu za mezani.

Hii haina cha mwanamke msomi na mbumbumbu, mfanyakazi na mkulima/mfanyabiashara, mbinti na mmama, mkurugenzi na mhudumu, waziri na mfagizi: Mradi ni mwanamke kwao simu ya mkononi ni ya mezani.

Ole wetu tuchelewe kupokea simu zao! Tunakutana na maswali mengi sana. Oh mara ulikuwa wapi hupokei simu, Oh ulikuwa na nani? Ni kasheshe iwe nyumbani-chumbani au katika nyumba za wageni au ufukweni. Ni full Kasheshe!

Lakini kwao simu ya mkononi ni ya mezani. Na hujitetea sana ukiwabana kwanini hawakupokea mapema.

Nauliza tena ni KWANINI KWAO SIMU YA MKONONI NI YA MEZANI?

Bazazi ni Bazazi!

Aisee Bazazi mi baada ya kufanya utafiti wangu nikagundua ni tatizo la wanawake karibu wote, nikaacha kabisa kuwa namuuliza wife swali kama hilo hapo kwa red, maana utakaribisha presha bure kwa kujipa majibu yasiyokuwepo!! Nikaamua ni heri kuishi kwa kuaminiana tu basi!!!
 
sipendi kumpa mtu no yangu maana lazima anichukie..

Tabasamu tatizo sio katika mahusiano ya mapenzi tu; ni hata makazini kwetu. Bazazi mabosi wake wawili ni wanawake ikifika jioni/ucku/mwishamwiki ni tabu tu na huku kazi niifanyayo ni ya mawasiliano saa 24/7. hapo ndipo napo ugua kabisa.

Bazazi ni Bazazi!
 
tukiwa nyumban mara nying tunakuwa bze na pilika za jikon,chumban na simju labda uliiacha pale kwenye koch

vs
nyie ata km mkiwa home mnapokea mkiamaliza mnatumbukiza mfukon sasa mimi nimevaa dela lisilokuwa na mfuko so mara nyng naisahau pale nilipokuwa

simu twaweka kwa pochi na kwenye poch kuna makorokocho mengi so ukipiga naweza nsiskie.....but nyinyi amwek simu sehemu km izo

Kusema kweli sijakubaliana na hoja zako. Kwangu naona ni dharau tu mnatufanyia.
 
hahahahahahaha
hihihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii

umenikumbusha mie jamani
ilikuwa simu nikiiweka mezani, au kama niliisahau kwenye gari au pochi ujue imekula kwako....

mpaka nikaulizwa "mpenzi unatembea na simu ya mezani?"

ila thanx to jamiiforums siku hizi simu nipo nayo karibu muda mwingi kwa ajili ya kuperuzi...
akipiga tu napokea
hadi akaniambia anafurahia mabadiliko loh.........

Bazazi hiyo ina ukweli sana tu,hebu ngoja tuendelee kuwasiliza wanavyojitetea.
 
Jamani, ni simu ya kiganjani (mkononi) na sio simu ya pochini. Kama unapika na simu iko mezani jikoni ikiita si unaisikia. Nitakavokuwa full commited, nitajitahidi tu kwa namana yoyote nimpe BB, hii haiongopi, inamtrack through gps na google map. Maana utakuwa unadanganywa kama wale wanosema niko Kariakoo nanunua vitu kumbe yuko samakisamaki. i hate such lies.
 
Tatizo ni kupokea simu au? kama ni cheater ni cheater tu watu wanapokea simu wakiwa na kilo 100 juu ya viuno vyao sembuse nini?

Mie siamini katika simu aisee na bahati nzuri wangu ananielewa (of coz najua anakereka sometimes anapokuwa na kitu cha hamasa/muhimu anapotaka kushare na mie) But once nikiwa nyumbani ananielewa, I cant afford kuwa na simu muda wote but nahakikisha zile intervals nazizingatia. Nina muda wangu ambao ninaelewa wazi kuwa nikikaa muda flani lazima nimcheck kwa simu so lazima simu itashikwa na kama kuna misd calls nitarudisha na kama kuna sms. WhatsApp nitarespond.
 
Mi nna ya kiganjani sina ya mkononi wala mezani bhana lol.

TaiJike ulichofanya ni kucheza na lugha tu. Pamoja na kujua kwao lugha kwanini huchelewa kupokea simu iwe ni ya kimapenzi au kikazi?
 
Tatizo ni kupokea simu au? kama ni cheater ni cheater tu watu wanapokea simu wakiwa na kilo 100 juu ya viuno vyao sembuse nini?

MwanajamiiOne nimezungumzia uzembe wenu katika kupokea simu bila kujali mahusiano yakoje. Hebu toka katika mtanziko wa kimapenzi halafu upe uzi uwanja mpana halafu rudi tena na nondo zako
 
Back
Top Bottom