Nakushauri uweke landline nyumbani au hata ile ttcl mobile na uiweke sebuleni au jikoni. Nilikuwa na tatizo hili na mke wangu, tuligombana sana mwisho nikaona isiwe tabu, nikaja na hiyo solution, nikaweka landline! akiwa nyumbani nikapiga mobile mara 1 bila kupokea, napiga landline (si unajua linavyolia) basi hata sekunde haipiti nasikia ''hallow'', akiwa ofisini natumia ya ofisini, akiwa ametoka, nimeweka ttcl mobile kwenye gari lake..... basi full covered nampata muda wowote. Hili ni tatizo la wanawake wengi, so usikasirike, tafuta solution!
we nyamayao toa sulution bana! inakera sana kupiga simu mara nne au tano mfano kwa kesi yangu ilikuwa nimeshikwa na polisi alitakiwa alete document za gari nilizisahau ili isilale polisi...hatimaye gari imelala polisi na ndio gari ninayoitegemea kwa shughuli zangu za kibiashara..it was very urgent kwakweli..nimepiga kama masaa mawili mtu hapokeihuko ni kutesana sasa, wacha apige tu mpaka achoke nitakapoickia ndipo nitaijibu.
we nyamayao toa sulution bana! inakera sana kupiga simu mara nne au tano mfano kwa kesi yangu ilikuwa nimeshikwa na polisi alitakiwa alete document za gari nilizisahau ili isilale polisi...hatimaye gari imelala polisi na ndio gari ninayoitegemea kwa shughuli zangu za kibiashara..it was very urgent kwakweli..nimepiga kama masaa mawili mtu hapokei
hii ndiyo ilikuwa extreme case lakini kabla ya hapo nilishazoea kuwa-dispointed nilikuwa na dunda maisha wala sikuwa napata shida najua wanawake ndiyo walivyo wako occpaied na home activities you see
lakini hapa nimeliwa pesa, time na gari limelala polisi kuitoa bongo mpaka kamanda kova acheke wiki nzima..hasara kwa familia akiwemo yeye na mimi na watoto..na mtu una simu ya mkononi inaboa!
nyinyi naona mnataka kugeuza wanawake 'watumwa' wa simu zao sasa.
mwanamke yuko nyumbani kwake, mnataka akenda chumbani kupumzika abebe simu, akenda jikoni kupika abebe simu, akenda ****** pia abebe simu!
tofauti na mwanamme ambe mna mifuko ya suruali mnaweka simu zenu saa zote na inawafuata mnapokwenda........wanawake hatuna vitu hivyo....and some of us cant be bothered na 'kutumikia' simu saa zote anyway! (simu yangu iko kwenye silent mode all the time)
ukitaka kuwasiliana na mie mkeo, niwekee simu ya ndani ambayo nitaisikia mlio wake popote nitakapokuwepo nyumbani bila ya kutumikia simu kwa kuibeba saa zote
JF napata experience na wife yaani simu ya mkononi mara nyingi iko chumbani, ndani ya begi, etc? huwezi kumpata on time hata kama issue ni very urgent lazima upige kama mara tatu na kuendelea...??
Do you experience the same kwa wake/girlfriends wenu na unashauri nini kifanyika?? inaboa sana hii.
umenchekesha kweli mana mie ninakuwaga na kazi ya kumwambia naomba ni beep nijue fone ipo kona gani ya handbag, mweh.
Kumegwa siyo issue kubwa kwangu ila tu unataka kutoa ujumbe fulani au maagizo fulani..dunia imerahisishwa badala yake uta-call mpaka saa nyingine unaamua kuchukua hatua ya kwenda mpaka eneo la tukio say home au business centre..time, money imeshatumika...kukumbusha gani huko bana mimi wananiboa sana!
Usiwe na wasiwasi hata kidogo? utazuia kumegwa mtu mzima na akili zake? nina mpenda lakini siyo kwamba eti niko so occupied kuchunguza maisha ya mke wangu not at all??Tumain unamaanisha unachosema kwamba kumegwa mkeo sio issue kubwa kwako? Una mke unaempenda? nina wasiwasi...
we nyamayao toa sulution bana! inakera sana kupiga simu mara nne au tano mfano kwa kesi yangu ilikuwa nimeshikwa na polisi alitakiwa alete document za gari nilizisahau ili isilale polisi...hatimaye gari imelala polisi na ndio gari ninayoitegemea kwa shughuli zangu za kibiashara..it was very urgent kwakweli..nimepiga kama masaa mawili mtu hapokei
hii ndiyo ilikuwa extreme case lakini kabla ya hapo nilishazoea kuwa-dispointed nilikuwa na dunda maisha wala sikuwa napata shida najua wanawake ndiyo walivyo wako occpaied na home activities you see
lakini hapa nimeliwa pesa, time na gari limelala polisi kuitoa bongo mpaka kamanda kova acheke wiki nzima..hasara kwa familia akiwemo yeye na mimi na watoto..na mtu una simu ya mkononi inaboa!
Thanks ndugu, you made my day..duh JF kiboko asante...this is one of the options ambazo sikuwaza kabisaa...
Halafu baada ya shida yote hiyo, umempigia kwenye landline ya nyumbani, unamuuliza "Uko wapi" anakujibu "nipo nyumbani, si umenipigia simu ya nyumbani?" "Nilikuwa nakusalimia tu"
bwan si wanawake wote ndo wanaacha simu zao mbali na walipo, wengine wanapenda kweli simu zao kila mahali yuko nayo hadi ******. huyo mkeo anamatatizo yake usigeneralize tafadhali
Haaaa heeee, safi sana.Tatizo litakuja pale ambapo kwa bahati mbaya mwanadada anapiga simu ya kiganjani ya mwanakaka mara kadhaa afu simu iwe haijapokelewa....atapindiwa midomo na kununiwa mpaka akome ubishi! Mkuki mtamu kwa nguruwe hahaha
we nyamayao toa sulution bana! inakera sana kupiga simu mara nne au tano mfano kwa kesi yangu ilikuwa nimeshikwa na polisi alitakiwa alete document za gari nilizisahau ili isilale polisi...hatimaye gari imelala polisi na ndio gari ninayoitegemea kwa shughuli zangu za kibiashara..it was very urgent kwakweli..nimepiga kama masaa mawili mtu hapokei
hii ndiyo ilikuwa extreme case lakini kabla ya hapo nilishazoea kuwa-dispointed nilikuwa na dunda maisha wala sikuwa napata shida najua wanawake ndiyo walivyo wako occpaied na home activities you see
lakini hapa nimeliwa pesa, time na gari limelala polisi kuitoa bongo mpaka kamanda kova acheke wiki nzima..hasara kwa familia akiwemo yeye na mimi na watoto..na mtu una simu ya mkononi inaboa!
Pole sana mkuu.
Ukweli hii kitu ina kera sana. imagine wewe na mke wako mko pande tofauti za dunia (mnatofautiana masaa). ww ukimpigia simu iko kapuni. anakuja ipata masaa 5 baadaye, hapo nawe uko labda usingizini.
haiji kwa kweli kina dada inabidi wajitahidi kubadilika.