Ground Zero
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 342
- 95
Ni kweli AD kwamba utafiti wangu hauko based gz. Hawa wanao wanaoamua kufanya kazi kwanza baadaye huishia kwenye frustrations, nina mifano mingi ya wanawake wenye elimu na pesa lakini wanakosa serious relationship kwa sababu wanaume wengi hawapendi/ wanaogopa kuwadate wanawake wasomi/wenye pesa kwa hofu ya kukosa control. Hili limechangia graduates wengi kutamani ndoa tu baada ya kutoka chuo. That's just the awy I see.
mbona mi sipendi!! Sijui nitakuwa na matatizo!Ni kweli tunapenda ndoa, nani anapenda aishi mwenyewe maisha yake yote,
Matatizo makubwa unahitaji maombimbona mi sipendi!! Sijui nitakuwa na matatizo!
Ni kweli tunapenda ndoa, nani anapenda aishi mwenyewe maisha yake yote, na kama unapata nafasi kwa nini usiitumie, wanachuo labda wasichana wakiingia chuo huwa na uhusiano na mwaka wa mwisho hii inafanya wale waingie kazini wakati wewe bado unasoma, kwa hiyo ukimaliza jamaa anakuwa tayari kwa ndoa..bado nafikiria kuolewa ni heshima hasa umri ukifika

Matatizo makubwa unahitaji maombi

naomba uniombee bb.