Wanawake na mvua

Sio siri mie mwenyewe napenda kuloa kwenye mvua yaani nivile tu ninasuka ningekuwa na kipara wallahi mvua ikianza kunyesha natoka nje ninyeshewe:laugh:
 
Sa kumbe raha yake unajua, unavunga tu eeeh?

Sidhan kama dhamira ya wanaolowa ni kuwatamanisha wanaume ili wawaangalie..

Evelyn Salt, nn kinachopelekea kupenda uloweshwe ??!!
 
mwanamke siku zote anakuwa anawaza majukumu yake ya nyumbani huo muda wa kujificha mvua bora awahi nyumbani akategeshe ndoa zake ajichotee maji awahi watoto wake usikute wanacheza kwenye mvua, aanue nguo za watoto wake alizofua tangu asubuhi zisilowe nk ndio maana wengi wanapenda kusema mwanamke anapenda kunyeshewa
 
sasa si mpaka awe na ------ ...we mtu kapigwa pasi hata anyeshewe mvua ya mawe utafaidi nini

Kigogo
Haijalishi ana bambataa kaa mlima kitonga au slope utadhan unashuka mteremko mto wawi

Mwili wa mwanamke ukiwa umelowa ni rahaaaa tu kuuangalia
Hasa hasa akiwa amejitanda na kagha, kitenge au hili vazi lao jipya “dela“.
 
Ha ha ha kwendraaaa
waaapi....madem wenyewe kama machinja mbwa!
Nikiwa na hamu ya kuwaona walio loa namwagia wangu maji na kanga yake moko nampulizia dawa kisha navunga zangu, hamna udasu!
 
waaapi....madem wenyewe kama machinja mbwa!
Nikiwa na hamu ya kuwaona walio loa namwagia wangu maji na kanga yake moko nampulizia dawa kisha navunga zangu, hamna udasu!

Aaaah shauzi tu huna lolote....
 
Tena wengi wao ni wale waliovaa nguo za kubana, wanasubiri zilowane kidogo, wadau wachanganyikiwe barabarani.
 
Sidhan kama dhamira ya wanaolowa ni kuwatamanisha wanaume ili wawaangalie..

Evelyn Salt, nn kinachopelekea kupenda uloweshwe ??!!

Gari sina nawahi mishe sometimes za muhimu mvua tu ndo inikatishe kweli?
naenda tu, ila hakunaga sababu bana
 
Weraweraa...
 

Attachments

  • Kanga.JPG
    45.9 KB · Views: 314
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…