autorun255
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,105
- 364
Usinambie hadi leo hujawahi kufaidi kuona mtu kaloana na mvua...
Nywele zikilowa zinanuka.
Bora wangekuwa wanafunika na kitambaa maalumu kuliko mfuko laini.....
Sasa wakifunika na kitambaa si zitalowa????? Au kuna vitambaa havipitishi maji???
Aisee hapoo umetugusa wengi.
Macho yangu kwa wanawake walioloa....
Bora wangekuwa wanafunika na kitambaa maalumu kuliko mfuko laini.....
Mtoto akiloa lazima usimame wima
Mi sijawahi kabisa kufaidi kwa kuwaona hao Raia wamelowa...matumbo kama mitura!Usinambie hadi leo hujawahi kufaidi kuona mtu kaloana na mvua...