nobodylikedme
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 741
- 769
Nishaapa kabisa! Sitokubali kufanyiwa hivyo nikiwa najitambua ni bora unichinje kwanza. Siwezi kukubali kuishi na psychological trauma mbaya kama hiyo itakayonisumbua maisha yangu yote heli nife.Siku mjaluo anakudaka anakufiria kwny kitanda chake hicho hicho huku mkewe akiambiwa akusafishe nya muda unashughulikiwa,*****.
j
sijawahi ona maendeleo ya vicoba, watu wanahangaika sana
Jamaa anonekana hawajui vizuri wanawake akili zao pale wanapokuwa na shida hasa wakifikia desperation point.
Watu wanatombwa mpaka na wauza mkaa hili apate kwa ajili ya mkaa wa elfu moja tu na ni wanawake ambao ukiwaona ni ngumu kuwadhania. Ogopa sana desperation
Hahahahahaha mkuu umepata hasira nini??
Huyo itakuwa wanakula kimya kimya pasipo wewe kujua labda uiwekee password au labda kama ni mbovu wa sura ya kiume na wakati ni mwanamke.
Hivi mwanaume unayejitambua inakuwaje mwanamke wako afikie desperation point, umwache ahangaike na vicoba? Nitampa chochote atakachohitaji, bora nikakope mimi kama itabidi. Ila rejea point yangu ya msingi, inahitajika umakini wa ziada kumpa mwanamke hela but asije akakosa mahitaji kwa sababu ya ubahili. Usipompa mahitaji yake watampa wengine.
Basi Mzee wa oil chafu, kama umebahatisha mke mwema na mvumilivu wa shida anaejari na kuheshimu ndoa yenu hongera nyingi. Lakini na kuhakikishia wake zenu wengi ni maharage ya kyela
Na hicho ndio cha kufanya ni kheri uangaike wewe na mikopo kuliko kumuacha yeye mwenyewe, hata kama ukikosa sehemu ya kukopwa unabaki kumtia moyo asijari itapatikana kesho hata kwa maneno ya uongo. Wanawake uvumilivu wao wa shida huwa una ukomo na hawanaga option nyingine zaidi ya kujirahisisha wakishifikia ukomo.
BTW msalimie sana shemeji mwambie nobodylikedme wa JF anamsalimia. It seems that she makes a good wife to you bra.
Bro kwa namna unavyoongea inaonekana wazi huko kwenye ndoa yenye uaminifu wa hali juu kiasi kwamba unachukia sana usaliti na hutaki hata kuuskia. Na pia unayatambua majukumu yako ni kitu kizuri sana na ndio msingi wa ndoa na familia bora.Sisi wanaume sometimes hatujitambui majukumu yetu. Siku ya ndoa mbele ya mchungaji au padre au shekhe unakula kiapo kuwa utamlinda, utamtunza na kumpenda kwa hali zote katika shida na katika raha. Sasa baada ya ndoa unamuachaje mkeo aingie kwenye madeni ya hovyo hovyo na wewe mwanaume upo unafuga ndevu kama beberu tuu. Unashindwaje kumshauri mkeo? Mke wangu hawezi kufanya jambo lolote bila kunishirikisha, nikiona halifai namwambia acha, kama ni hela nitakupa. Mimi mwanaume nitahangaika kuhakikisha familia yangu inakuwa stable. Ni aibu kwa mwanamke kuzuzura mtaani anakopa. Laiti wanaume tungejitambua tungenusuru ndoa zetu.
Hahahha ndio maana unaonekana kuwa na uchungu sana na wife kumbe ganda ulifungua mwenyewe hongera nyingi.Pigilia mstari. Nilifungua seal mwenyewe, tena siku ya ndoa, siyo nyie vijana wa leo watu wanajiokotea mabaki