Wanawake na mikopo/vicoba

Mimi nimeamua natoa kwa awamu, na sitaki kabisa ajue vyanzo vyangu vya mapato. Namwambia hali ni mbaya sina lkabisa, chukua hiyo laki 1 na nusu. Tukikaaaaa, naongeza kama 50. Nahakikisha anaelewa sina pesa. Nikimwonyesha kuwa ninazo, laki 5 haimalizi wiki. Akili za akina mama wanajua wenyewe. Tatizo kubwa ni kwamba wanaishi kwa bajet kubwa kuliko kipato
 
Jitahidi mkuu kumlipia madeni mke wako, usimuache hadi akifikia kwenye desperation point. Tunawala sana wake zenu sisi vijana tusio kuwa na mbele wala nyuma tena kwa msaada wa pesa kidogo tunawavua chupii mlizo wanunulia nyie.
 
Hahahahaha mkuu haya mambo yaache tu kama yalvyo aiseee ni mazito sanaa vicoba kwa akina mama ni chanzo cha uasherati aiseee...

Haya mambo nayaona na nimeya experience sanaaa tu huku mitaaani...
 
Hahahahaha mkuu haya mambo yaache tu kama yalvyo aiseee ni mazito sanaa vicoba kwa akina mama ni chanzo cha uasherati aiseee...

Haya mambo nayaona na nimeya experience sanaaa tu huku mitaaani...
Mkuu haya mambo ya vicoba huwa yanawapa sana presha wanawake na hawakomi, yaani mwanamke anajikuta anafanya uasherati automatically. Anajikuta tu umemla bila ya yeye kutarajia.

Ila mkuu nakumbuka babu yangu aliwahi kuniambia kwamba fadhira pekee ambayo mwanamke anaweza akakulipa wewe mwanaume na akaridhika kwa kumtendea wema ni kukupa uchi.. Na nilikuja ku prove hili kwa huyo mwanamke, hata sikuamini kwanza ukimuona alikuwa ni mkubwa kwangu kiumri hapo mimi nilikuwa nna 24 wakati yeye alikuwa 32 huko! Ila nilimvua chupi kwenye kitanda cha mme wake sababu ya deni la 50,000 tu na nilikula sana chakula chake kiasi kwamba niliona haina hata haja ya kumdai na hata yeye mwenyewe hakuwahi kuliongelea deni baada ya kumtia. Jameni vicoba hiviiii acha tu
 
Jitahidi mkuu kumlipia madeni mke wako, usimuache hadi akifikia kwenye desperation point. Tunawala sana wake zenu sisi vijana tusio kuwa na mbele wala nyuma tena kwa msaada wa pesa kidogo tunawavua chupii mlizo wanunulia nyie.

Huwezi kumvua chupi mke wangu kwa sababu ya hela zako, hata nenda na milioni kumi. Kama atakuvulia akuvulie kwa sababu nyingine.
 
Jitahidi mkuu kumlipia madeni mke wako, usimuache hadi akifikia kwenye desperation point. Tunawala sana wake zenu sisi vijana tusio kuwa na mbele wala nyuma tena kwa msaada wa pesa kidogo tunawavua chupii mlizo wanunulia nyie.

Tatizo lenu mnadhani kila mwanamke anavulika chupi kirahisi kwa vijisenti vyako.
 

Usijisifie ujinga. Mwanaume wa kweli hawezi kutumia kigezo cha kumpa mwanamke hela ili amvue chupi. Hebu fikiria, 50k imekutoka kwa kukojoa mara moja tu alafu unajisifu. Zaidi ya huyo mwanamke kujishushia hadhi unafikiri amepoteza nini kwa kuvua hiyo chupi? Anachofanya huyo ni umalaya japo haendi kupanga foleni ambiansi, na wewe unajisifu unafikiri ameshawachomoa wanaume hela kiasi gani? na amewapa papuchi wengine wangapi?
 
Huwezi kumvua chupi mke wangu kwa sababu ya hela zako, hata nenda na milioni kumi. Kama atakuvulia akuvulie kwa sababu nyingine.
Basi Mzee wa oil chafu, kama umebahatisha mke mwema na mvumilivu wa shida anaejari na kuheshimu ndoa yenu hongera nyingi. Lakini na kuhakikishia wake zenu wengi ni maharage ya kyela
 
Hahahhaha!!! Jamaa naona umekuwa mchungu sana na comments zangu, yaelekea siku ukimfumania mkeo na njemba nyingine utaua mtu, huna masihara na K ulioilipia mahari tehe!!teh!!teh!! Endelea kulinda sana huyo mwanamke yaelekea umeoa your dream wife and you can't live without her!!!

Bro hata mimi nafahamu ni udhaifu kutumia matatizo ya mwanamke kumvua chupi sababu anakuwa hajasukumwa na hisia kukubali isipokuwa shida zake na mwanaume wa kweli ni mwenye nguvu ya ushawishi pasipokutumia fedha kumpata mwanamke.

Ila naona umeshindwa kuelewa muktadha mzima wa comments zangu binafsi mimi hata sijajisifia ila nimejaribu kuonyesha athari za vicoba zinazo wakumba wanawake na hasa wasiokuwa na elimu kifedha, sio wanawake wote wanaonufaika na vicoba na sio wanawake wote wanaoteswa na hela za vicoba.

Mwanamke anakopa hela vicoba alafu anaenda kuendeleza biashara yake au kuanzisha biashara au kuipeleka kwenye aina yoyote ya uzalishaji huyo hawezi kuteseka kwenye marejesho kamwe. Lakini kama mwanamke anachukua hela kwenye vicoba alafu pesa yote anaenda kushonesha sare za harusi au kumlipia mtoto wake karo ya shule au ana nunua chakula anaweka ndani pasipo kubakiza hata kidogo achome angalau hata mandazi auze huyo kwanini asiteke na marejesho hadi kufikia hatua ya kugawa utamu??

Ni kweli yule mwanamke alichukua 50k yangu na alikuwa hana uwezo wa kunilipa na kwa udogo niliokuwa nao ukilinganisha na yeye hata angeamua kunipa kimya nisingemfanya chochote sababu kwanza alikuwa ni mke wa mtu alafu ile hela hatukuandikishana popote kwa hiyo hata angeamua kunigeuka nilikuwa sina la kumfanya.


Mazingira ya mimi kumvua chupi aliyatengeneza yeye mwenyewe, wewe mtu anakutumia meseji hadi saa tano usiku eti anakuuliza "hivi ww ni mwanaume kwel utalalaje pekee yako na barid yte hii!?" Bro hata kama ungekuwa ni wewe mwanamke kama huyu ungemuachaje wakati tayari ameshaanza ku doubt uanaume wako, si ndio kuanza kutangazwa mitaani jogoo hapandi mtungi? Mimi ilibidi ni mtombee tena pale pale kwenye kitanda anacholalia yeye na mume wake hizo habari za yeye kuwa malaya atajua yeye mwenyewe mimi nilimpa anachokitaka na kuweka heshima kuwa ni dume la mbegu. Alafu hizi kesi ni nyingi sana hii yangu ni moja wapo kati ya ninazo zifahamu.
 
j
Vicoba imewaletea wengi sana maendeleo, hlf Vicoba siyo wakinamama tu hata kina baba inatupasa

Mwakani najiunga na vikoba hata vinne
sijawahi ona maendeleo ya vicoba, watu wanahangaika sana
 
Vicoba vizuri na vinasaidia sana kama tu mlengwa alie kwenye hivyo vicoba ana akili ya ziada..na utamu wa kua vicoba uwe na kabiashara pembeni..unajua ukikopa unapanua mtaji na kufanya mambo mengine ya maana
 
Huwezi kumvua chupi mke wangu kwa sababu ya hela zako, hata nenda na milioni kumi. Kama atakuvulia akuvulie kwa sababu nyingine.
Hahahahahaha mkuu umepata hasira nini??

Huyo itakuwa wanakula kimya kimya pasipo wewe kujua labda uiwekee password au labda kama ni mbovu wa sura ya kiume na wakati ni mwanamke.
 
Hahahahahaha mkuu umepata hasira nini??

Huyo itakuwa wanakula kimya kimya pasipo wewe kujua labda uiwekee password au labda kama ni mbovu wa sura ya kiume na wakati ni mwanamke.
Jamaa anonekana hawajui vizuri wanawake akili zao pale wanapokuwa na shida hasa wakifikia desperation point.

Watu wanatombwa mpaka na wauza mkaa hili apate kwa ajili ya mkaa wa elfu moja tu na ni wanawake ambao ukiwaona ni ngumu kuwadhania. Ogopa sana desperation
 
Hawajui huyoo..
 
duh kumbe we mwehu hivi
 
Siku mjaluo anakushika unamlia mkewe lazima akufire mpk puru imwagike njee,*****.
 
Siku mjaluo anakudaka anakufiria kwny kitanda chake hicho hicho huku mkewe akiambiwa akusafishe nya muda unashughulikiwa,*****.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…