Wanawake na matatizo yao katika mahusiano ya kimapenzi

Wanawake na matatizo yao katika mahusiano ya kimapenzi

Mleta mada bora umelitambua hilo .......hata kama nice guy tafta mwanamke anayekupenda kweli utaenjoy......na hiyo ya kutomwambia Mali zako big up make ungejuta baadae baada ya kuingia kwenye ndoa
 
Duuuuuuu, kuna watu wana bahati sana aisee, yaani unahudumiwa zaidi ya mwaka no kupigwa dushe Mmmmh! itabidi mie nkaoge maji ya bahari jamani nikutane tuuuu na zali
 
We unafkr kaz zote unaweza mwambia mwanamke kabla ya kumuoa? kama we jambaz.... cataharbu mkiachana
 
Yani humu jamii forum kuna majinuni sana

Kwanza story yako ya kutudanganya maana huo ni uongo uliokubuhu unamgharamikia demu bila kukupa papuchi si bora ungekua unapiga nyeto

Pili wewe sidhani kama hata milioni 1 ulishawahi kuishika , umeitaja milioni 50kama elfu 5 hahahahaa hahahaha

Vere interesting
umemchamba mwanakwetu! hahahaaaaa.
 
Kweli kuna.wanaume na watoto wa kiume! Kijana unahudumia mwanamke ukisubiri mpaka uoe,unaambiwa masharo wanamenya mzigo uko busy kutafuta hela,mpaka unafanya mipango ya kumtafutia kazi? nina wasiwasi sana na darasa lako la mapenzi,inaonyesha upo chekechea
 
Daahh.. Yaan hao viumbe hawanisumbuag kichwa hata kidogo nkihc tu mizinguo nakutimua cku hyo hyo
 
Ingekuwa vyema kama usingetaja jicho kiasi cha fedha ulichosema, hapo kuna ukakasi!...lakini pia kama hayo yote nimpongeze huyo dada yawezekana alikuwa anakuonea huruma, pengine alikuwa si mzima,...alishapigwa na umeme hivyo akaamua kuwashikisha hao wanajiita masharobaro wa mtaani!!
 
Hupendwi Hapooo Ukilazimisha Sana Anakulia Tu hela Anaenda Kwa Anayempenda...
 
Back
Top Bottom