Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,497
- 17,560
sura tangi manga ubaatike kuona mgongo sasa π π π π π deiz people is too funnyAlafu hizo make up siku ya tafrija maalum(sherehe) ndio wengi wao huwa wanaboronga hadi wanaonekana vituko. Nimeliona hili sana unakuta mdada siku za kawaida anajimake up kiasi na anapendeza kwa kiasi fulani, kasheshe ni kuwepo na party wanajimake up mpaka wanakuwa kama wamejipaka matope.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni wewe unapenda hivyo
Wao wanapenda make up
Kila mtu abaki na preferences zake
Ujue nakujibu Sina mbavuuuu,Kilichofanyika nikapewa kazi nimpelekee tishu,Sasa tishu na jasho la kumwagika kila akijifuta zinabaki usoni ilikuwa tafrani.utadhan watu wanashangilia arusi kumbe wanashangaa kuona kanguruwe kachangaa kakivishwa peteπ π π
Yaani wewe ulikuwa unapiga story na Nabii ?[emoji15][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka sana, halafu nilikuwa naongea na mtu jioni hii akaniambia 'hivi mnadhani sisi wanaume tunapenda hizo makeup basii, ni vile tu hatusemi ila hazitufurahishi'..!
Enwei, siyo mtumiaji wa hiyo kitu, basi tu tulikuwa kwenye story, itabidi nishee naye link ya huu uzi na nimshauri tufungue kanisa maana ni Nabii.!!
tissue inazidiwa uzito tumeambiwa na wataamu apo juu kwamba makeup inaweza fika kilo 20 sasa ata lisura linakuwa linamuelemea nzito sanaaUjue nakujibu Sina mbavuuuu,Kilichofanyika nikapewa kazi nimpelekee tishu,Sasa tishu na jasho la kumwagika kila akijifuta zinabaki usoni ilikuwa tafrani.
sura tangi manga ubaatike kuona mgongo sasa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] deiz people is too funny
ngoja tusubir majibu kutoka kwa mods.juz nilikuwa na sister kuna dada mmoja alikuwa ivo nikamwambia iyo nayo nn π π akasema ni foundation.izo foundation kuna za mtu mweusi na mweupe sasa yele ampaka ya mtu mweupe wakati yeye ni lamiUsiombe ukute kapakaa ile kitu inaitwa Foundation, utathani Nyumba inafanyiwa skimming na Gypsum pawder
Au mnasemaje mods wa JF
ππMake up zenu nyie zipo kwenye wallet.
Bila nyekundu nyekundu zilizopangana hampendezi hata iweje.
Inawezekana havihusiani na mada lakini hatushindwagi kitu.
Lazima tujibu mapigo.
Depalππ
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka sana, halafu nilikuwa naongea na mtu jioni hii akaniambia 'hivi mnadhani sisi wanaume tunapenda hizo makeup basii, ni vile tu hatusemi ila hazitufurahishi'..!
Enwei, siyo mtumiaji wa hiyo kitu, basi tu tulikuwa kwenye story, itabidi nishee naye link ya huu uzi na nimshauri tufungue kanisa maana ni Nabii.!!
najua upo smart na pia sio mtu wa make up ya up 20 kgπ π just 1 faceAbee
Yesnajua upo smart na pia sio mtu wa make up ya up 20 kgπ π just 1 face
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ comment yako imeniacha hoi..eti kanguruwe kachangaπππππumejua kunifurahisha jmniJichekeage tu ndugu.Juzi Kati Kuna ndugu yangu alikuwa anavishwa Pete.Akatoka Tabata kwenda Mikocheni kupakwa hayo makitu tu.Muda wa Pete umefika sijui ndo tashwishwi jasho Kama lote.Kwanza alianzia kuweka nyufa usoni.Kavishwa Pete akamkumbatia jamaa make zikabaki kwenye koti la buraza.Pata picha nyufa + make up imetoka mashavuni alibaki sura imevurugikaa,zimebaki kope utasema kanguruwe kachanga.
π π π π π πBinafsi sipendi mwanamke/msichana/binti anayejipaka hayo mavitu
Ukute kajipaka na kavaa wigi ukimwambia umependeza eti anaitikia AKHSANTE na uzuri unachangia [emoji1]