Tupo maeneo ya mweng ikaanza mvua ya manyunyu yale makubwa ghafla tukaanza kukimbia kutafuta sehem ya kujibanza kufika kweny kiduka flan iv kugeuka nikakutana na mdada anauso unamadoa doa kama chui nilikuwa na jamaa yangu ambae hawezag kujivunga alicheka vibaya mno yule dada ikabid anunue maji anawe uso...[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
20kg.......hahahahahah, huku ndio kujisiliba sasa.
Nimecheka kwa nguvu sana [emoji23]Make nzuri kwenye picha tu,Tena zilizoeditiwa.Ukimuona live anakuwa Kama ngedere mjane.
Aii jamani[emoji16][emoji16]Make nzuri kwenye picha tu,Tena zilizoeditiwa.Ukimuona live anakuwa Kama ngedere mjane.
nyie watu kumbe mekapu inarudisha muda nyumaa π¨π¨π¨
Ndio mana wanavaaga vinguo vyepesi kupunguza uzito20kg.......hahahahahah, huku ndio kujisiliba sasa.
ukute yupo njiani anatembea harafu mvua ishuke gafla utawaonea huruma!!! yaani hili ni tatzo kubwa sana miongoni mwa jamii ya wanawake. asipo paka anakisa confident kabusaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jichekeage tu ndugu.Juzi Kati Kuna ndugu yangu alikuwa anavishwa Pete.Akatoka Tabata kwenda Mikocheni kupakwa hayo makitu tu.Muda wa Pete umefika sijui ndo tashwishwi jasho Kama lote.Kwanza alianzia kuweka nyufa usoni.Kavishwa Pete akamkumbatia jamaa make zikabaki kwenye koti la buraza.Pata picha nyufa + make up imetoka mashavuni alibaki sura imevurugikaa,zimebaki kope utasema kanguruwe kachanga.
20kg ni make up?, nomaa ππ
utadhan watu wanashangilia arusi kumbe wanashangaa kuona kanguruwe kachangaa kakivishwa peteπ π πJichekeage tu ndugu.Juzi Kati Kuna ndugu yangu alikuwa anavishwa Pete.Akatoka Tabata kwenda Mikocheni kupakwa hayo makitu tu.Muda wa Pete umefika sijui ndo tashwishwi jasho Kama lote.Kwanza alianzia kuweka nyufa usoni.Kavishwa Pete akamkumbatia jamaa make zikabaki kwenye koti la buraza.Pata picha nyufa + make up imetoka mashavuni alibaki sura imevurugikaa,zimebaki kope utasema kanguruwe kachanga.
madude uchafuu yale hawajui tu.mwingine unaweza waza sasa huyu ni mchawi au usoni utazani kapaka unga wa ngano ilo limdomo sasa liwigi kisogon unaona vipilipili vinaishirizia ukute na chura hana ata salam apati[emoji28][emoji28]
toeni elimi au ushauriTulio natural tunacomment wapi[emoji23][emoji23]