Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,264
- 4,747
Hivi dada/mama kama huyu zamani anakua ndo kajiharibia kabisa na hata kama ana ndoa anaweza kuachika. Skuizi anakua superstar. Kesho kutwa utaskia kafanywa video queen [emoji23]
Tunakoenda wapi ee Mola
update...
Huyu dada ni staa maarufu huko South Africa, anaitwa ZONDWA WA BANTU.
anasifika pia kwa tabia ya kutovaa kifuniko cha asali [emoji160]