ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Ana miguu mizuri huyo dansa
Mi naona kila idara yuko vizuri.Ana miguu mizuri huyo dansa
Hivi dada/mama kama huyu zamani anakua ndo kajiharibia kabisa na hata kama ana ndoa anaweza kuachika. Skuizi anakua superstar. Kesho kutwa utaskia kafanywa video queen [emoji23]
Tunakoenda wapi ee Mola
Duh mi mshamba kweli sijazoea kuona mapaja yalonona hivo hadharaniUshambaaaa ndyo unakusumbua
Sasa apo kuna mapaja yalionona kweli ndugu?Duh mi mshamba kweli sijazoea kuona mapaja yalonona hivo hadharani
Utandawazi au uchiwaziEti ni utandawazi!
KaribuuNapita tu
Ahsante mkuu nimeshakaribiaKaribuu
Hivi dada/mama kama huyu zamani anakua ndo kajiharibia kabisa na hata kama ana ndoa anaweza kuachika. Skuizi anakua superstar. Kesho kutwa utaskia kafanywa video queen [emoji23]
Tunakoenda wapi ee Mola
Savana mambo chali sasa angetandikwa whisky huyo si unajibebea kabisamKumbe ni Savannah tu ndio imempelekea hivyo
Ingewezekana ungefanya hivo mkuuvipi nikuachie hapo juu space??
[emoji23][emoji23][emoji23] siku nyingine unikumbusheIngewezekana ungefanya hivo mkuu
KabisaSavana mambo chali sasa angetandikwa whisky huyo si unajibebea kabisam
Taifa la makinikia. Sizonje the clown.
anaweza pia akawa na ajira yake but hiyo ni sehem ya burudan yake ya after four thirty, wewe inakuuma nini?, wewe ungependa wanawake waweje in your republic?Kwani tatizo lipo wapi hapo? kama wew una ajira ya kudumu wengine hawana kazi ndiyo kazi yao hiyo... Usidharau kazi za watu..