Wanawake na hoja ya Uanaharakati

Wanawake na hoja ya Uanaharakati

Singidan

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
878
Reaction score
945
"Wanawake ambao ni wanaharakati asilimia 90 hawana wanaume yaani hawajaolewa"

Wengi wao ni viburi na kukosa heshima. Hata walioolewa huachika.

Juzi kati Kuna dada yangu, yeye ni mwalimu Ila baada ya kusoma Kupata diploma ya Udhibiti ubora, tayr amebadilika sana.

Kitu Cha kushangaza ni kudai talaka ili awe huru kwani anadai kuwa haezi shindwa kuishi pekee.
 
Yani mwalimu nae analeta nyodo?? Huyo kalogwa ilibidi awe mnyenyekevu
Kapata jamaa kamfokoa tope. Wapumbavu sana , wakisha fokolewa tope wewe ambaye unaingia kwa amani ya bwana unaonekana poyoyo usiye na akili.

Vijana acheni kufukua dada wa wenzenu tope, mnaharibu familia

Back
Top Bottom