Very nice...Hii ni moja tu ya dalili ya ukarimu kutoka kwa dada zetu hawa..Karibuni tule jamani
Asante dadaKaribuni tule jamani
Very True... We love being spoiled... Thanks..Ni mama zetu, Dada zetu na wake zetu pia baadhi yao hulalamika kwa makusudi ili wabembelezwe hata kama hujampa kitu mpe maneno matamu yasiyo ya kinafki huridhika mno na kujiona tajiri hata kama hana kitu..
madame wanapenda doh sana.....kuna wale wakisikia pesa wanaweza panua maku mpaka unaona ovaries
Sio ubahili kutafuta wa nje kama ni tabia yako uwezi acha.Mmezidi ubahili mpk mkumbushwe mtu anamatumizi mengine na ndio maana mnatafutiwa wasaidzi
Sio wote. My Boo kama siku hana naweza kumtoa vile vile kwani kitu gani??Ninakusaidia kwa kila jambo unaloniomba na wala sikuiti masikini waliombaomba kwangu.
Ila inatokea siku nakuwa siko fresh unaponiomba nikutatulie shida zako. Ila baada ya kushukuru unatoa ruga chafu oooh.
Mara unanifanya hivyo kwa kuwa mimi sina kazi na wewe unakazi,mara unaniona ombaomba wako hivi ni kwanini muna roho hizo.