samua
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 1,029
- 709
Mwambie akupe mchezo aache usengeVp alikupa ? ,mm kn mmj hpa anatak tu hela mechi nikiomb anasem no ,na ni demu wngu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww noma wiki ijaisha unaomba mchezo
Kwani una wangapi humu mkuu?Hehehehe...umenikumbusha demu mmoja wa humu.
Kwani una wangapi humu mkuu?
Kumbe ndio maana ulininyima number na kuni block kabisa.

Urafiki gani huo?? Njoo pmKuna time mtu unakuwa bored unajikuta unainjoi kuchat na kubadilishana mawazo na watu sio lazima iwe mapenzi kwani wanaume hampendi urafiki wa kawaida na Wadada?
sio wewe tu wanaume wengi wapo hivyo ukichat nae tu anahisi unampenda sana.Me napenda kama dem hanitaki anionyeshe live ikibidi asinijib meseji zangu..ila akianza kuchat chat na mimi nahisi anaenda kunikubali sasa kwanini aendelee kunichora
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikutesi baby wangu jamaniCurious gal kwanini unanitesa moyo mpenzii
Ndio manakesio wewe tu wanaume wengi wapo hivyo ukichat nae tu anahisi unampenda sana.