Wanawake muwe mnatukataa kweli kweli

Wanawake muwe mnatukataa kweli kweli

Wewe mtu gani usiye weza kuwa na urafiki na wanawake mpaka ni kutongozatongoza tu
 
Mara nyingi ni kweli hawataki kweli...

Nadhani wanaboreka kuchat na mtu huyo huyo kila siku...

Mpaka inafika kipindi hamna cha kuongea mnabaki kusalimiana basi...

Hiyo inaitwa Flirting...


cc: mahondaw
 
Kwanini asichat na wanawake wenzie? Hio tabia inaboa sana,,,tatizo labda huwajui wanawake na akili zao mkuu. Utaona km unamnyima uhuru ila mpe tu lazma atau misuse tu. Siku anakulilia ni shetani kampitia ndio utatia akili.
mkuu wote tunaishi dunia hiihii na wanawake ni hawahawa,
ni kujua tu namna ya kuishi nao, maana hata kwenye bible imeandikwa tuishi nao kwa akili.

Mbona hata si wengine tuna marafiki wa kike na tunaishi nao vizuri tu na ku'share a lot of things bila kuvunjiana heshima.

Binafsi huwa napenda kumwonesha friend wa kike msimamo wangu mapema kabisa, ili ajue, si kwa kumwambia ila kwa vitendo, mfano tukiwa tunapoga stori, nikiona muelekeo wa stori unaenda siko huwa nabadili mada, na kusema tuachane na hayo.
akitumia njia nyingine napo nitajua tu namna ya kum counter attack.
Tatizo huwa ni sisi men, yani vocal ziliishakaa mdomoni tayari kwa kutoka, kidogo tu binti wa wa watu akijirengesha, ushatema vocal.... kumbe ye alikuwa anataka urafiki tu na sio unachowaza wewe.
 
Back
Top Bottom