Wanawake, Mungu awasamehe tu jamani!

Wanawake, Mungu awasamehe tu jamani!

Mwanamke wa namna hiyo amekosa maarifa.
Halafu hizi tabia za kuomba omba hela ni itakuwa hakutaki huyo. Siku nyingine jaribu kutafuta wanawake wa maana.
Kumbe mwanamke anayeomba hela ni yule hasiyekutaka.
 
"50,000 bibie huko saluni unaenda kusafisha na ubongo au?"

Mabishano ya majirani zangu hapa nasikia mwanaume analalamika namna hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom