Shusho, huu wimbo kileleni sio dalili ya u Freemasons?

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,362
4,062
Katika dunia ya sasa, tunaona shetani akitumia wasanii mbalimbali kuharibu kizazi hiki.

Tumeona wasanii wa bongo fleva watu wote waliojiunga na freemasonry, wakija na project mbali mbali za kuharibu kizazi kwa kupandikiza mambo ya hovyo kwa watoto na vijana.

Unakuta mtoto anaimba nyimbo za matusi mazito kabisa ya akina diamond,mtoto huyu akikua kidogo tu,anakuwa na kiu isiyo ya kawaida ya ngono.Wakati hao wanalipwa na kuwa mabilionea kwa kuharibu akili za watoto na vijana,jamii ndio inawapenda kiasi cha kushangaza sana.

Waimbaji wa gospel nao wameanza kuja na hizi project za kishetani. Kule Kenya kuna mhuni anaimba matusi haswaa! Mtu anasema Yesu ninyandue..nipate mimba ya imani!

Sasa nimesikia Christina akiimba wimbo wenye kutafakarisha sana..kwamba maji yanamfikisha kileleni!
Ukiusikiliza wimbo unagundua kuwa huenda anatamani azungumze yote yaliyomsibu kwenye ndoa.
Unajiuliza huenda alifika kileleni baada ya kutoka nje ya ndoa ndio maana akamwacha mumewe,na sasa anaimba anataka kufika kileleni, na maji yatamfikisha kileleni!

Najua ni maisha yako lakini Dada mbona ni kama umechelewa kuishi hayo maisha ya ukahaba na kumtumikia shetani kwa kuwa influence wanawake waachane na waume zao ili wafanye "assignment" kama uliyopewa wewe?

Kutoka nyimbo "ni kwa neema" tu hadi maji yananifikisha kileleni! Kweli?
 
Hao ni kama wanawake Wengine,sema wao wameamua kuingiza kipato KWA kuimba injili. Matamanio ya kimapenzi na fikra za kihuni ziko pale pale. Ni swala la mwanamke kujidhibiti/kujiheshimu kutokujionesha
 
Samahani mkuu.
Nakubaliana na wewe kwamba nyimbo zisizizingatia maadili na utu hazifahi lkn kwakuwa wasanii wanalenga biashara hapo ndipo kuna ugumu.

Swali langu ni je,huyo anaposema maji yanamfikisha KILELENI umejaribu kufahamu aina ya KILELE anachokizungumzia?

Maana mimi ninavyo fahamu kuna kilele cha mlima (juu kabisa ya mlima) lkn pia KILELE cha mti (juu kabisa ya mti). Karibu ndugu yangu.
 
Hao ni kama wanawake Wengine,sema wao wameamua kuingiza kipato KWA kuimba injili. Matamanio ya kimapenzi na fikra za kihuni ziko pale pale. Ni swala la mwanamke kujidhibiti/kujiheshimu kutokujionesha
kuna watu wanadhani ukiwa wokovuni basi hisia ya kimapenzi hutoweka. Huwa zipo kama kawaida ila hudhibitiwa. Nyege zipo palepale na zinataka zishughulikiwe ila zinadhibitiwa kimaadili ya dini
 
Katika dunia ya sasa, tunaona shetani akitumia wasanii mbalimbali kuharibu kizazi hiki.

Tumeona wasanii wa bongo fleva watu wote waliojiunga na freemasonry, wakija na project mbali mbali za kuharibu kizazi kwa kupandikiza mambo ya hovyo kwa watoto na vijana.

Unakuta mtoto anaimba nyimbo za matusi mazito kabisa ya akina diamond,mtoto huyu akikua kidogo tu,anakuwa na kiu isiyo ya kawaida ya ngono.Wakati hao wanalipwa na kuwa mabilionea kwa kuharibu akili za watoto na vijana,jamii ndio inawapenda kiasi cha kushangaza sana.

Waimbaji wa gospel nao wameanza kuja na hizi project za kishetani. Kule Kenya kuna mhuni anaimba matusi haswaa! Mtu anasema Yesu ninyandue..nipate mimba ya imani!

Sasa nimesikia Christina akiimba wimbo wenye kutafakarisha sana..kwamba maji yanamfikisha kileleni!
Ukiusikiliza wimbo unagundua kuwa huenda anatamani azungumze yote yaliyomsibu kwenye ndoa.
Unajiuliza huenda alifika kileleni baada ya kutoka nje ya ndoa ndio maana akamwacha mumewe,na sasa anaimba anataka kufika kileleni, na maji yatamfikisha kileleni!

Najua ni maisha yako lakini Dada mbona ni kama umechelewa kuishi hayo maisha ya ukahaba na kumtumikia shetani kwa kuwa influence wanawake waachane na waume zao ili wafanye "assignment" kama uliyopewa wewe?

Kutoka nyimbo "ni kwa neema" tu hadi maji yananifikisha kileleni! Kweli?
Umejaribu kumuuliza ni maji gani ya mto bahari ama ziwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom