STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,267
- Thread starter
- #21
mafinyofinyo amekujibu vyema sanahivi mnawezaje sex bila hisia???
kweli nyie ni wanaume....
mafinyofinyo amekujibu vyema sanahivi mnawezaje sex bila hisia???
kweli nyie ni wanaume....
Mwanamke aliyependa,akazama, akimaanisha, anaweza kukaa hata Mwaka bila kufanya tendo la ndoa, kama Mme wake yuko mbali...
Uaminifu wa hali ya juu..!
Mwanaume aliyependa,akazama, tena dimbwini
kabisa na kuogelea kwenye mahaba ana uwezo wa kukaa 10% ya muda ambao Mwanamke anaweza kukaa bila kufungua zipu lake kwa mtu
mwingine na bado akaendelea kuwa happy na
kusema He is in Love...
Ukweli unaouma, Wanaume zipu zetu
mbovu, kinachotuokoa ni kwa sababu sometimes tunafungua zipu bila hisia yoyote kwa tunayemfungulia, ilimradi Afande abdala kichwa
wazi kaamka basi tunapiga mswaki...
Wanawake mpaka afungue kipochi ujue hisia zimetumika
labda awe gumegume.
NAKED TRUTH THAT HURTS..
Am sorry jje's[/QU
mhhhh hakuna mahali nakuacha hadi hizo 10% zitimie, usijidanganye bure
[emoji38] [emoji38]Dats nice,, honestly ungekuwa single ningetuma maombi officially
Ili uwe unachepuka EheeDats nice,, honestly ungekuwa single ningetuma maombi officially
Yan wanajikutaga wamemaliza kila kitu Aisee.Demu mwenyewe akiwa warumi Utakula vijembe hadi ukome
Mimi nishakiri, na nitazidi kusisitiza, sitakaa nimfatilie mume wangu, as long as ataendelea kunipenda, kunithamini mimi na watoto wetu na kuniheshimu. Apige nje ila ajue dhambi ni yake si yangu, I just want him happy that's all. Hela tu isiishe ndani, matumizi atoe as usual, na huduma zote muhimu. Atumie condom asiniletee magonjwa ya ngono bure. Na akumbuke kutoa huduma ya sex ipasavyo ninapohitaji. So ni yeye tu, kila mtu na dhambi zake. Nitajitahidi sana kusimamia hili nitawapeni feedback nikifanikiwa panapo majaaliwa ya uzima.Mwanamke aliyependa,akazama, akimaanisha, anaweza kukaa hata Mwaka bila kufanya tendo la ndoa, kama Mme wake yuko mbali...
Uaminifu wa hali ya juu..!
Mwanaume aliyependa,akazama, tena dimbwini
kabisa na kuogelea kwenye mahaba ana uwezo wa kukaa 10% ya muda ambao Mwanamke anaweza kukaa bila kufungua zipu lake kwa mtu
mwingine na bado akaendelea kuwa happy na
kusema He is in Love...
Ukweli unaouma, Wanaume zipu zetu
mbovu, kinachotuokoa ni kwa sababu sometimes tunafungua zipu bila hisia yoyote kwa tunayemfungulia, ilimradi Afande abdala kichwa
wazi kaamka basi tunapiga mswaki...
Wanawake mpaka afungue kipochi ujue hisia zimetumika
labda awe gumegume.
NAKED TRUTH THAT HURTS..
Am sorry jje's
Huu ni mtihani mkubwa sana. Baada ya bao moja tu ndio kumbukumbu ya Wife/Girlfriend inakuja na majuto million, Kwanini nimemsaliti. Yeye akinisaliti je?Hapo ndio hua sielewi kabisaaa,unaanzaje kumvulia mwanamke zipu bila nafsi yako kukusuta kua jee mkeo /mpenzi wako
akifanya hivyo utajisikiyaje?
Tamaa inatungulia hisia baadaehivi mnawezaje sex bila hisia???
kweli nyie ni wanaume....
Asipotumia condom kwenye mchepuko wake atakuambia?Yeah, ni bora aniheshimu tu na atumie condom kwenye mchepuko yake.
Aisee umeongea kwa hisia sana, ama kwa hakika wewe ni mke boraMimi nishakiri, na nitazidi kusisitiza, sitakaa nimfatilie mume wangu, as long as ataendelea kunipenda, kunithamini mimi na watoto wetu na kuniheshimu. Apige nje ila ajue dhambi ni yake si yangu, I just want him happy that's all. Hela tu isiishe ndani, matumizi atoe as usual, na huduma zote muhimu. Atumie condom asiniletee magonjwa ya ngono bure. Na akumbuke kutoa huduma ya sex ipasavyo ninapohitaji. So ni yeye tu, kila mtu na dhambi zake. Nitajitahidi sana kusimamia hili nitawapeni feedback nikifanikiwa panapo majaaliwa ya uzima.
Hao wanawake wewe niachie mimi nimalizane nao... Manake walichokifanya Eden sidhani kama nitakisahau kirahisime napenda sana mada zako mana unawachan madem kama nini yani unawavua nguo kabsaa
ila mbon kila siku wo tuu sijawahi ona mada zko nyngn mtoa mada
una ajenda gani na wanawake