Wanawake mtatuua

nje ya maada, hivi mwanamke mjamzito anatakiwa afanyiwe ni ni ili hamu ya kula irudi
 
"Konyagi + aspirin =Road to kuzimu"
 
Ha ha haaa!!! Umenifurahisha sana mkuu wangu. Umenikumbusha ule msemo wa waswahili unaosema "Akili za kuambiwa, changanyia na zako."
 
Wanaigiza lakini kuna baadhi yenu mnataka tuwafanyie kama wanayofanya huko mimi bwana tutaachana tu
Mfano kila unayekutana nae akawa analeta sera hizo hizo,utaacha wangapi?
 
Amaizinglly!! Dadazz ndio maana mna lala mika kwamba mtoto mmoja tu... Anakutosha ili ukaishi mwenyewe! Kumbe vidonge na aspirini!!!??? Analyse,, alikupa vidonge na aspirin ili aende kwa aliemtaja akapigwe kazi.!!!??!!
 
Mkuu Analyse, Mpe sifa Huyo jamaa yako, Kama siku ya kwanza Kabisa Alikunywa robo Tatu peke Yake ya kile kichupa tena bila kudilute basi Ni mzima, akipiga Mara 3 tu Atakua Na uwezo wa kupiga Bapa KUBWA peke Yake! Of course Nyagi inachelewesha kukojoa Ila sio Na Asprin, huko Ni kujiuua!
 
Ndio hutupendi kiasi hicho bibie?
Sasa mtu anakunywa konyagi na asprin anategemea nini? Ndio kusema kichwa cha chini kinafanya kazi kuliko cha juu? Huyo nae anatarajiwa kuwa baba wa familia na atoe maamuzi[emoji134] [emoji134]
 
Hahahahaa babuuuu Asprin ati nikikuchanganya wewe na kamschana kwenye kilauri halafu nikanywa ntakuwa supa shaftii hahahahahahahahahahahahaaaa aaaaaa

By the way Nimekumiss babuuuu walau ni tost a glass of amarula with you. .... venue....... leo sema weye
 
Kumbe na yule waziri aliyekwapuliwa laptop na binduki ni handaz za konyagi na aspirin.
 
IPO siku kuna mpumbavu atapewa sumu. mradi tu aambiwe atakuwa fit kwa kitanda.
wanaume wenzangu, hawa wanawake hawarithiki. piga ndani ya uwezo wako tu. vinginevyo utaumia tu
 
IPO siku kuna mpumbavu atapewa sumu. mradi tu aambiwe atakuwa fit kwa kitanda.
wanaume wenzangu, hawa wanawake hawarithiki. piga ndani ya uwezo wako tu. vinginevyo utaumia tu

Hawaridhikagi hawa,kama sio dushe basi itakuwa hela,kama sio hela basi itakuwa kitu kingine.
 
Sasa mtu anakunywa konyagi na asprin anategemea nini? Ndio kusema kichwa cha chini kinafanya kazi kuliko cha juu? Huyo nae anatarajiwa kuwa baba wa familia na atoe maamuzi[emoji134] [emoji134]
Utoto tu,wakikua wataacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…