Wanawake mtatumaliza

Wanawake mtatumaliza

Kama namfahamu vile huyo anaeongolewa! Hizo details ulizotoa zinamfit sana binti mmoja hivi. Ngoja ni-google, ili nijipe uhakika.
 
Kama namfahamu vile huyo anaeongolewa! Hizo details ulizotoa zinamfit sana binti mmoja hivi. Ngoja ni-google, ili nijipe uhakika.

Acha weeee...ukipatia utakuwa unatisha....
 
So wewe unaona maisha ndivyo yanatakiwa yawe hivyo? NDIO MAANA NIMESEMA Mnatumaliza
Tutawamaliza kivipi bwanaaa? Acha hiyo Hasty Generalization, mi nimekupa mfano wa mtu anayeishi maisha nje ya uwezo. Sasa wewe tafuta unayeendana nae, mfano mimi siendeshwi maisha yangu na nini kimeingia mjini au flani kavaa nini au anaendesha gari gani nami niwe nalo Noo! So ukimalizwa unapenda tafuta unayeendana naye as simple as that.
 
I like ur signature.......

It says alot..... who is Audrey Hepburn

Thanks Heaven on Earth....signature yako...mmmmm

Audrey Hepburn was a British actress and humanitarian. Recognised as a film and fashion icon, Hepburn was active durin Hollywood's golden age. She was ranked by the American Film Institute as the great female screen legend in the history of American Cinema and has been placed in the International Best dressed List Hall of Fame. She is also regarded by some to be the most naturally beautiful woman of all time.She died in 1993.
 
Last edited by a moderator:
Eti unasema umempiga chini?!!
Watoto wa kiume mna matatizo sana!
Hakuwahi kuwa wako jua hilo tu! So unakuja kulia lia tu hapa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom