Sasa mnamalizwa kwa kipi mi naona huko ni kusaidiana majukumu...
angekuomba hela ya hizo safari ungeweza?
Kwa mheshmiwa anapata hela kwako anapata dushe
equation inabalance!!!
Kwani mamipira ndo yanazuia ukimwi? Michelin na ugumu wake zinapata pancha sembuse hako ka nylon?Usichukulie kirahisi hivo evelini solt...mi situmiagi mami pira ati...sasa unataka mimi nife kwa uzembe hivo jamani...uaminifu muhimu ati......
Kwani mamipira ndo yanazuia ukimwi? Michelin na ugumu wake zinapata pancha sembuse hako ka nylon?
Bora ulivyoamua kushusha mikono chini kwa usalama wako, usishindane nao hao, angegundua angeweza hata kukutumia watu wakumwagie tindikali
1.Sio mkweli
2.Anachepuka
3.Ataniletea Magonjwa
4.Sio mwaminifu
On serious note Avelini Solt...ukiacha hilo la mipira....Kama mimi ningekuwa ni kaka yako ...would you recomend this girl to be married to me?
aisee, Hapo mnarani ni hatari sanaTindikali si bora,anawatuma wale wajuao kutumia ule mtandao wa simu wenye kipicha kaa sura ya mtu kwenye herufi ya mwisho.
Chezea wadada wa mjini wewe wapo kimaslah zaidi
Hiyo kawaida na ni sawa kabisa kwa huyo mpenzi wako kwa kuwa ndio lifestyle aliyochagua. Sasa kama ana kipato cha kawaida Vitz hataki kuendesha ataka Rav4 ya kisasa, Brazilian/ Peruvian hair, Perfume Chanel, Handbag-LV,MK,Coach n.k,Kiatu-JimmyChoo,MK,CL n.k. Weekend vacay- Zanzibar Zamani Kempinsk au Ras Nungwi. Anakiwanja kigamboni anataka amalizie nyumba au bboutique yake anataka iwe na branches Ar na Mwz.
Sasa we utampatia hiyo hela au unamletea stori tu. Mbunge ye hana tatizo akiambiwa tu mafuta ya gari anampa check ya million teh teh.
Napenda kutuma salamu kwa dada Ufoo bila kumsahau muheshimiwa Mzito Kabwela.
Sasa mnamalizwa kwa kipi mi naona huko ni kusaidiana majukumu...
angekuomba hela ya hizo safari ungeweza?
Kwa mheshmiwa anapata hela kwako anapata dushe
equation inabalance!!!