Jamani hivi mmesahau kuwa mie mgonjwa? Haya mawingu na mvua za Dar, huu mkono wenye chuma ndani unauma kitu cha ajabu....... ngoja nawavutia kasi kwanza.................lol

Mie namshukuru baba yangu huyu coz ameamua kubansi genda,hope sasa ni wakati muafaka wa yeye kutuandikia kuhusu wanaume ili nasi tupate uelewa kuhusu wao km alivyokuwa akitoa uelewa kuhusu sie wadada,na wala hatujamhonga hope atakuwa ameamua kuzingatia genda na hata hiyo kasi anayoivuta nitafurahi km itakuwa ni kwa ajili ya wanaume!
Jamani hivi mmesahau kuwa mie mgonjwa? Haya mawingu na mvua za Dar, huu mkono wenye chuma ndani unauma kitu cha ajabu....... ngoja nawavutia kasi kwanza.................lol
Pole Mkuu Mtambuzi,
mimi nakukubali kwa asilimia zote,
najua hata binti zako Cantalisia na Zinduna wanakukubali,
sijui Ashadii, Lizzy, Afrodenzi, Kongosho, Dena Amsi, Marytina, King'asti na wengineo kibao humu jf wanasemaje kuhusu wewe mkuu.