wengi wenu mlishamwambia enough.........ahamie upande wa pili ndo hapo ukimya wake ulipoanzia
Ah kwa raha zake andike tuu kama kweli tutakubali kama sio kweli tutakataa...
Tangu siku mliyompiga 'mkwara' apunguze kutupatia elimu dunia kuhusu wanawake eti kwa kigezo anawakata 'steam' mimi kama mwanaume ninasikitika sana. Yaani mengi na elimu nzuri tuliyokuwa tukiipata toka kwa Mtambuzi kuhusu nyinyi wanawake ni kama imezimwa mithili ya mshumaa katikati ya upepo mkali.
Natamani ningekuwa na uwezo ningemwambia Mtambuzi basi badala ya kuacha kutoka mada 'tamu' zinazohusu hii jinsia, angejaribu kupata ushauri wenu wa nini basi mnataka awe anakiongelea badala ya kusitisha kutoa kamba za ukeni. Wakina dada mwambieni basi vitu gani mngefurahi awe anaviandika kuhusu nyinyi. Ktk hili kaka Mtambuzi wanaume tutaendelea kukudai juu ya hiyo elimu ya wanawake.
Wadada mliomchimba 'mkwara' Mtambuzi vitu gani mngependa aviongee juu yenu badala ya kumchimba 'bit' kama mlivyofanya?
Duh............!!!!!!!!!!
duh nini hebu kaa kikaangoni hapa mkuu.Duh............!!!!!!!!!!
Duh............!!!!!!!!!!
Mtambuzi fanya surprise mkuu!
ninamfagilia sana mtambuzi... Yule original kabla ya kuchakachuliwa na mmu geloz
Jamaa yuko jikoni anaandaa mambo subirini tu wadada.